Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza simu yangu aina ya samsung jean 2, gb 32 ina hali nzuri sana, bei laki moja na nusu (150000). Nipo iringa mjini kwa ambae yupo mkoani naweza kumtumia au anaweza kuagiza mtu ambae yupo Iringa...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
natafuta 34" - 37" curved monitor, ndani ya Tanzania bei na wapi nawaza pata? sio lazima brand niliyo attach hapa cc
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima zenu wa kubwa, kwa wale wote wanaohitaji kununua content kwa shughuli zao karibuni yapo ya futi 40 na futi 20 karibuni sana.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hot Plot for sale beside na chuo cha Afya [emoji91][emoji537] Kiwanja kipo Kigamboni mwembe mdogo , sqm 600 , 2km kutoka barabarani ya Mjimwema -- ferry , kiwanja kina kisima cha maji safi...
1 Reactions
1 Replies
423 Views
Oi vipi Natafuta nyumba maeneo ya makumbusho, morroco kama unamjua mwenye nyumba au ww ni mwenye nyumba nicheki Isizid 200,000
2 Reactions
56 Replies
1K Views
TOYOTA IST CC1290 MWAKA 2004 FULL DOCOMENT FULL AC GARI KALI SANAA BEI 11ML KARIBU SANA. 0625004475
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni kikundi cha vijana tunashughulika na utengenezaji wa mabango ya 2d, 3d, banner, write box tunapatikana sinza mori jirani na Duka la NATTY Au waweza kutembelea ukurusa wetu wa Instagram...
1 Reactions
1 Replies
388 Views
1998 model, 1500cc, Petrol, First registered in Tz 09/03/07with reg T...AQV. The car in condition. Price Tshs 4.5mil Contact 0784225000.
0 Reactions
165 Replies
57K Views
To all, We are looking for sales person and 3 sales commission agents for home appliances retail shop Duty station:Ilala manicipal in Dar es salaam. Roles for sales person: 1. Welcoming and...
4 Reactions
7 Replies
547 Views
Ina ghorofa na nyumba ndogo nne chini.frame mbili za biashara nje. ipo pembeni ya barabara kabisa. Umiliki Hati Inafaa kwa uwekezaji wa ofisi pia. Nyumba ipo kinondoni mahakama.. Bei 450 millions...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji paka mwepe asiye na doa la rangi yeyote ile. Kama unaye au ukanipa connection ya kuweza kumpata tuwasiliane kupitia simu no: Kwa wakazi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nauza Plot yangu Geza ulole Block 24, Kiwanja kimepimwa Kina Hati ya wizara (Title) Ukubwa wake ni square metre 800 *Mawasiliano: 0758 065 340 KARIBUNI SANA.
3 Reactions
4 Replies
627 Views
Nina external hard disk gb 500 inapatikana Dar es salaam Magomeni , imejaa movies na series bei ni 90000
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Mapendo furniture ni wauzaji na watengenezaje wa vitanda aina bedsofa, kabati, sofa, showcase, table bench, godoro aina zote n.k. Tupo mabibo mwisho jijini DSM piga & WhatsApp 0753536609. NB...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Kwa wahitaji wa Toyota hiace used in UK hazina usajir lakin ukishalipia kiasi Cha mil27 tu tutakufanyia usajir isipokuwa bima utafanya mwenyewe ni hiace zenye wheredi na zilizo na km chini ya...
1 Reactions
4 Replies
750 Views
Dukani bei yake si rafiki, kama kuna mtu anayo labda nyumbani kwake au kwenye gari lililokatwa screpa naomba tuwasiliane , pengine naweza kuipata kwa bei rafiki zaidi kuliko dukani inakopigwa AC...
0 Reactions
0 Replies
819 Views
Unapoweka Lengo au unapolielekea Lengo Ulilojiwekea na Ukaona Kuna Vikwazo Vingi Katika Kulifikia au Kulielekea Lengo Hilo Kamwe Usibadili Lengo Lako. Jambo Muhimu Ni Kubadili Njia , Mkakati au...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Samsung A80 flip camera Ram, 4gb Storage 128 gb Location dar es salaam Maongezi yapo
1 Reactions
9 Replies
896 Views
- 2gb ram, - 16gb hard disc, - 13mp Kamera nyuma na mbele (zote zina flash), - non removable battery 3000mah, - haina cracks wala mikwaruzo - bei ni 130000 tu. Piga namba 0783 662495 Sent using...
0 Reactions
159 Replies
20K Views
Nina shida na hicho kiasi chap chap kabisa Pc ina 2gb RAM Harddisk 300gb Maongezi yapo kidogo...... Location: Dar es salaam Ipo vzuri sana Updates kwa vile nina uhitaji wa pesa ya haraka...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Back
Top Bottom