Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu kwa yeyote mwenye laptop ya del yenye 2.13 double procesor ram 2gb na hhd 500 ani PM 2zungumze bei Au laptop yeyote yenye ukubwa unaokarbiana na huo yenye hal nzur Aksante kwa ushirikiano wako
0 Reactions
7 Replies
1K Views
VIWANJA VYA MAKAZI - MABWE PANDE eneo ni kubwa sana nakata vipande 20x20 bei mil3 jirani na kota za saccos,nyuma ya shule ya msingi na hospitali ya mabwe...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wapi zinapatikana?? Na bei yake!! Nahitaji >8, plz kama unafahamu nijulishe mkuu, bei yangu 200000-250000
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau nahitaji chumba na sebule maeneo ya kigamboni iwe self. bajeti yangu ni 150000. yeyote aliyenacho aniPM. Thanx.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bei isizidi laki tatu. Kama unayo call 0655730673
0 Reactions
2 Replies
999 Views
nna shida hyo jaman nimevunja kioo cha laptop
0 Reactions
1 Replies
817 Views
Wana jf Mimi nahitaji kujua zaidi taratibu za kufungua depot ya beer hasa zinazo tengenezwa hapa nchini
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tuna agiza na kussuply Tshirts Kwa wahitaji wa mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya na Rukwa. Ofisi za kampuni yetu zipo Mbeya mjini! Tshirts hizi ni plain, made in Thailand, rangi zote za msingi...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Wadau nataka kununua kiwanja maeneo ya Chanika Msumbiji chenye ukubwa wa robo eka bila kujali kimepimwa au hakijapimwa,bajeti yangu ni Tsh 1.5 ml.Je naweza kupata?Naombeni mnijuze kama kipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iwe maeneo ya kinondoni studio, mkwajuni na maeneo ya karibu.
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Galaxy note 1 mpya. 0658100001
0 Reactions
1 Replies
681 Views
Kina ukubwa wa mita 24 kwa 20,unaweza kupitia njia ya moshi bar au kivule unafika kiwanja kipo safi hakina mabonde wala milima hakituami maji anayehitaji ani pm,bei milioni 8
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nauza simu tajwa hapo juu kwa mwenye kuhitaji ni original sio copy. Imetumika muda mfupi tu. Naiuza 650000 niko dar napatikana kwa 0713 806 766.karibuni.
0 Reactions
0 Replies
665 Views
mapenzi n majaribu saana kwakweli.sijui hata usahihi ukwapi
0 Reactions
4 Replies
808 Views
POWER BANKS FOR SALE!! PRODUCT FEATURES: v Portable, Affordable, User friendly, Reliable battery ensures high quality v Operable for all brands: suitable for mobile Nokia, Motorola, HTC, Samsung...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu nipo DSM nataka kubadili biashara kwahiyo nataka niuze hawa wadudu kwa bei ya kutupa mwenye kuhitaji ni PM. wahi kabl zigo haujaisha.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
SAMSUNG GALAXY S4 CLONE INAUZWA, haina tatizo lolote. INTERNAL MEMORY-2GB BACK CAMERA-8megapixel FRONT CAMERA-2megapixel Bei 250,000
0 Reactions
6 Replies
1K Views
gari tajwa ipo sokoni. haina tatizo lolote ikiwa na service history inauzwa. ipo katika hali nzuri sana . haijawahi sumbua kwa muda wote toka iwe imported . serious buyers au wanotaka kuiona kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Look lyk new one if uneed pic whatxup me 0653491308
0 Reactions
0 Replies
709 Views
pikipiki tajwa apo juu nauza kwa 1.3M imetumika mwaka mmoja natumia kuendea job na kurud hom nchek kwa 0655991403 and chek pic
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom