Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naomba msaada kama kuna mtu ana levelling staff au anajua mahali naweza kupata, iwe used au mpya ila kwa bei chee (bei ya kirafiki). Nina shida nayo very soon. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Hello family, Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia maeneo ya Kimara temboni mpaka Kiimara mwisho. Sifa za nyumba Vyumba vitatu, sebure na jiko, Fence and stand alone. Huduma muhimu kama maji na...
0 Reactions
4 Replies
868 Views
Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba inapatikana Vingunguti Spenco, ina vyumba sita kwa ndani kimoja kwa nje. Vyumba, vyote sita vina. wapangaji. Wahi chapu chapu ubahatike, mwenye nyumba ana shida zake. Piga namba 0677089280...
0 Reactions
103 Replies
9K Views
Wireless Earbuds -Touch sensor...
0 Reactions
4 Replies
797 Views
Wireless Earbuds -Touch sensor -Waterproof -Price: 25,000/= Contact: 0653776099 Free delivery service ipo ndani ya Dar es salaam Sent from my Nokia 6.1 Plus using JamiiForums mobile app
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Nauza Samsung galaxy A53 5G mpya kabsa fullbox mimi nilinunua 780k dar ila nimepata dharura hapa ya ghafla naomba mwenye 650k nimuachie simu hii ina GB 128 Ram 8 niko mwanza nyegezi
1 Reactions
2 Replies
669 Views
Done [emoji736] Ahsanteni wazee...!!
0 Reactions
3 Replies
577 Views
PIKIPIKI IMESHAUZWA, IMESHANUNULIWA NINA WA SHUKURU WATU WOTE WA HUMU NDANI KWA USHIRIKIANO WENU HATIMAE NIMEUZA SIKU NYINGINE NIKITANGAZA BIASHARA MSIWE NA SHAKA WALA WASIWASI YOYOTE Wakuu ni...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau naomba mwenye jiko la kuchoma nyama anikodishe basi!Kwaajili ya x mass tu.0677089280.
1 Reactions
0 Replies
803 Views
Hopefully mko Sawa kabisa. Kuna kamsumari fulani kanaitwa (PUSH CLUTCH) Kwa mujibu wa fundi pikipiki. Huo msumari kazi yake ni: Wakati unabana clutch, kenyewe Kule ndani kanasukuma ili kutenga na...
1 Reactions
2 Replies
308 Views
SunNova Solar Inverter Pure Sine Wave (Brand New/Haijawahi kutumika) Falcon Eco 2000VA/24V Power - 1,300W Weight 15.5kg Ninapatikana Mbezi Louis (Mageti) Kama upo interested nicheki 0629 019820
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kitanda chenye ukubwa wa tano kwa sita kinauzwa, bei ni Tshs 75,000 maongezi kidogo yapo. Napatikana Mbezi Makabe, kama unahitaji piga simu 0712268434 tufanye biashara. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Kwa wale wanafunzi na mtu yeyote binafsi ambae angependa kuweka windows 11 kwenye mashine yake. Tunaweka window 11 ki proffesional zaidi. Tunakuwekea ikiwa na keys na application zinginezo kama...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kujua kuwa wapi naweza pata Corn Starch.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Closed
Nauza bata maji wako 8 kwa bei ya laki moja ya kitanzania (Tsh 100,000/-). Bata wana miezi mitano, mmoja ana miezi nane hivi. . Bei nauza kama bure haipungui hata senti moja.
0 Reactions
119 Replies
6K Views
TANGAZO LA KUUZA NYUMBA NYUMBA INAUZWA IPO GONGO LA MBOTO JIJINI DAR ES SALAM NYUMBA ZIPO MBILI KUBWA NA NDOGO (BANDA LA UWANI) NYUMBA KUBWA INA VYUMBA 3 CHOO CHA NDANI JIKO NA SITING ROAM...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani kwa wakazi wa morogoro na walioko jirani changamkieni fursa nyingine ya kujiajiri kwa kusafisha taa za gari kwa kutumia technology ya kisasa kabisi... MCHANGANUO KWA UFUPI; Taa moja ya...
0 Reactions
4 Replies
675 Views
Habari za muda huu, msaada kwa anayefahamu chimbo la vifaa vya usalama vya ujenzi kama gumboots, reflectors, gloves ngumu za ujenzi, helmet za ujenzi, nk Kariakoo au dar au popote pale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom