Habari za asubuhi ndugu zangu ofisi inapangishwa na ipo karibia na maeneo ya ubungo
Ina ubora ufuatao
1. Ina AC
2. Desktop Computer i
3. Meza kubwa,viti 3 makabati ya kuwekea vitu, kabati ndogo ya...
habari zenu wana jf.kuna sehemu ya ofisi inapangishwa inafaa kwa kuweka ofisi ya uwanasheria au mambo ya clearing n forwading etc.ofisi iko opposite na chuo cha biashara c.b.e.
HALLOW USIKOSE BONGE LA EVENT LA KUSISIMUA, NI UZINDUZI WA BUSINESS PLAN UNAYOWEZA KUKULIPA HADI 1.2 NDANI YA MIEZI 3. HII SIO YA KUHADITHIWA NJOO UJIONEE.
VIJANA WADOGO WAKIPATA MAFANIKIO...
Habarini wadau, nahitaji Playstation 2 zilizotumika na anauza, ziwe katika hali nzuri na ziwe complete kabisa,nahitaji kama 5...
ofa ya mwanzo ni 140,000 kwa kila moja..mwenye nazo tuwasiliane...
Shamba zuri la ekari 50 linauzwa kwa pamoja.
Ni mahala pazuri pia kwa mradi wa viwanja kwa wale wanaoona mbali na wenye uwezo au sehemu kwa ajili ya ujenzi wa taasisi za kielimu.
Lipo kilometa 4...
wakuu nauza simu tajwa hapo juu. ipo kwenye hali nzuri, imetumika miezi mitano tu. haina michubuko wala mikwaruzo hata kidogo. bei 100,000
serious buyer contact me thru 0684204980 Arusha
- Do you need Pharmacy or Inventory management system to manage your business?
- Modules purchase,stock & sales management
- Get it for free now - Limited offer for April
For more details PM or...
Nauza simu tajwa hapo juu haina tatizo lolote but ina crack kwenye screen, iko kwenye hali nzuri, bei 120k au kama kuna mwenye huawei y300 unlocked twaweza kubadilishana nikaongeza hela kidogo...
#Ina vyumba3,one room self contained
#Ina sebure,jiko,inside toilet n car parking
#Maji yapo,luku ya kujitegea
#Bei laki 4/Mwezi-Anataka kodi ya mwaka1
#¢ontact me: 0752953860
Nauza gari Toyota RAV 4, imetembea KM 150,000, rangi ni black metalic, ipo katika hali nzuri, insurance and road licence valid up to February and March 2015 respectively. Ni production ya mwaka 1997.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.