Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
karibuni wadau mujipatie sofa zilizotengenezwa kwa mbao nzuri na kitambaa chenye ubora wa hali ya juu. Pia tunapokea oda Kwa maelezo zaidi nicheki ktk 0754545163.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nauza simu ya sony xperia z, iko kwenye hali nzuri sana, haina michubuko. Imekuwa imported from abroad. Iko simu tu, haina accessories. Kwa mawasiliano nichek at 0717301520
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KIMI DEV.CONSULT LTD, ni kampuni iliyosajiliwa na ina leseni : Pamoja na kazi zingine tuna Andaa Andiko (proposal) za matumizi mbalimbali mf. michanganuo ya biashara/miradi, grant proposal...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
Natafuta mtaalamu wa kuandika proposal kwa ajili ya kuandaa Tamasha.....kwa anayeweza au anayejua.....Nipe bei na unawexa kuandaa kwa muda gani...?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakubwa mimi nahitaji GX 110 (mark II grande). Sitaki kuhangaika na kuagiza. Kwa showrooms za kibongo nitapata kwa bei gani?
0 Reactions
17 Replies
5K Views
HP 630, Core i3, Hard Disc 500GB, Processor 2.8, RAM 4GB. Inauzwa laki 5 imetumika mwaka mmoja. Anaehitaji aniPM.
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Gari inatembea na iko vema. Ni 6 cylinder 1 G Kavu. Kiukweli iko vizuri bodi lake, nimetoka kubadili rings, piston, berring, gasket, tyres, nozel. Kwakweli iko vema kwa safari yoyote nchini...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti : Ina HATI, ina umeme, ina maji : Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia) : Ipo karibu...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Habari wana Jamii, Mimi ni Kijana Mjasiriamali nauza KIWANJA kwa sababu kwa sasa naishi Arusha. Kiwanja kina ukubwa wa 21m x15m(62ft x 42ft), BEI 7M.Kiwanja kipo Mbagala Charambe -Mianzini(Mponda...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja kina hatua Ishirini kwa Ishirini! Kipo barabarani kinafaa kwa biashara au makazi! Umeme upo hapo na maji yapo! Bei maelewano sitaki Dalali . Tel 0755 272776:embarassed2:
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kwanza nawashukuruni kutumia muda huu kusoma kijitangazo hiki. 1.Nauza shamba langu liko wilaya ya mkuranga km 45 kutoka mkuranga mjini 2.Liko karibu na barabara ya lami iendayo mtwara au...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Screen: Super IPS LCD 2 Capacitive touchscreen Protection: Corning Gorilla Glass Internal Memory:32GB RAM: 1GB Processor: 1.5GHz Camera: 8M.P Front Camera: 1.2M.P Chipset: Nvidia Tegra 3 OS: Jelly...
0 Reactions
3 Replies
772 Views
anaeuza smartphone nzuri kwa bei hiyo anipm. Zingatia simu ya weza kuwa mpya au used kidogo. Inapaswa iwe na clear camera,charge atlist kwa siku moja, android itakuwa poa zaidi,isiwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
waungwana salama jamani,mie ni kijana nilieamua kujiajiri katika fani ya Umeme,mwenye kunihitaji ani pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapwa zangu wa zanzibar na mahali pengine tz mimi mjomba wenu natafuta video camera mtumba aina ya sonny 3ccd pd170 pamoja na accessories zake.natanguliza shukrani!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Karibuni wadada mpate mali ya kisasa pointed, sio kariakoo combine. Tipo kijiyonyama polisi mabatini, utaona bango TK Fashionz. Pia tuko facebook page yetu ni TK Fashionz, na instagram tupo TK...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,. Natafuta shamba bagamoyo eneo la fukayose. Tuwasiliane kupitia PM
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa yeyote ambaye anajua spare za volvo s80 zinakopatikana kwa hapa bongo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Welcome to Century Laboratory. We lead the industry in cleaning bank stained notes from pink to black dyed currency. Our main line of products and services serve the financial industry as a whole...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama inavyoonekana na specifications ziko kwenye picha,bei sh 550,000/-.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom