Habari wana jamii forum, toyota IST inauzwa. Detail zake hizi hapa;
Chasis No: NCP61-0023873
price; 13 million
Mileage: 81 Kkm
Colour : Pearl White Fuel
Type : Gasoline
Status : available...
Habari wakuu....nahitaji kununua pikipiki kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa!
Mwenye nayo ani PM.
Je wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali mwenye biashara kubwa au ndogo....Then njoo kwetu upate Logo/Nembo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale....Kwa anayehitaji logo...
KUNA SHINDANO LINAENDELEA HUAWEI FAN PAGE.. NA WANATOA SIMU YA HUAWEI ASCEND G510. SASA ILI USHINDE INABIDI UPATE LIKE NYINGI UTAKAPO SHARE PICHA YAO
PLEASE NAKUOMBA UNISAIDIE KU-LIKE PICHA...
Specification:
General
System Type Notebook
Operating System Microsoft Windows XP Professional
Processor / Chipset
CPU Intel Celeron 2 GHz
Cache L2 - 256 KB
Front Side Bus 400 MHz
Chipset VIA...
viwanja vinauzwa ukubwa mita 22x20 4.5milion na mita 22x40 9milion
Viko kilomita 4 kutoka morogoro road unaingia mkono wa kulia ukitokea mjini, barabara inayoelekea goba.
Kwa taarifa zaidi piga...
Samahani wakubwa,
Kama yeyote aliyewahi kununua product yoyote E-BAY na akaipokea hapa bongo naomba anipe utaratibu kuhusu shipping method na wapi pa kupokelea na nama ya kulipia bidhaa.
Nauza kiwanja bagamoyo mjini eneo la nia njema kina hati ukubwa
ni 79/50 sawa na hakari moja pazuri kwa kujenga hotel ,hospital ,chuo
bei 60,000,000/- mazungumzo yapo
simu no 0785070856
Wadau, kwa mtu anaefahamu bei na mahali naweza pata mashine ya kusaga nyama iwe mpya au used anifahamishe tafadhali au mwenye nayo na anataka kuiuza ani pm
Habari za usiku wakuu...nilikuwa nahitaji samsung s2 used,ila isiwe clone.
##mm nitakupa tsh laki 2 pamoja na blackberry bold 9780 (white),ipo in good condition,no scratchez na haina matatizo yoyote
Ninauza Solar Panels za kuchemshia maji.
Sababu ya kuziuza ni kutokana na kubadilisha mfumo wa kuchemsaha maji ya moto.
Ziko kwenye hali nzuri sana na zimetumika mwezi mmoja tu.
Mawasiliano...
Ninauza FRITZ!Box 6810 LTE
Hii ni Wireless router ya SMILE ina kasi ya 4G
Niliinunua mwezi wa February 2014 kwa shilingi laki tatu na nusu
NINAIUZA KWA KUWA NIMEPATA ISP(Internet Service Provider)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.