Ninahitaji Appartmnt ya kupanga Dar es Salaam kwa muda wa mwezi wa 11 kwa Shilingi 500,000/-. Maeneo ya K/Nyama, Makumbusho/ Mikocheni A or B/ Oysterbay/ Msasani or Upanga. Iwe furnished tafadhali.
Ni mpyaaaaa kabisa aina ya olympus no.u-7010
Optical zoom 5.0-35.0mm' 12 megapixel made in indonesia designed by Olympus in Tokyo...bei ya kutupwa nitafute 0689545870...sina hela thats why naiuza...
Wana Jf, nina kiwanja Iringa mjini kina ukubwa kama wa Hekari moja.
Nataka nikipime na nikate hati.
Kwa anayefahamu itanicost Tsh ngapi, kukifanyia vipimo na kukata hati chote.
Mchango...
Model: Samsung 530U3BI
Processor: intel(R) Core i5 - CPU @1.60GHz (4 CPUs)
Ram: 4GB
HDD: 160GB
Battery life: 5 hours
Location: Sinza Dar
Condition: used but not in Tanzania...
Kipo kihonda kwa chambo. Ukubwa 600sq kina hati kimepimwa. Huduma ya maji ipo, umeme upo. Ipo barabaran. Na kutoka barabara kuu ya dodoma km 3. Bei maelewano. Contact. 0715500248
Anadawa hasili za kutibu na kuondoa kabisa tatizo la NGUVU ZA KIUME na kukupa uwezo wakurudia tendo zaidi ya mara 4 na kuchelewa kufika kileleni kwa muda wa ( dakika 30- 35 ) pia na kurefusha na...
Ina Vyumba vitatu vya kulala, jiko, subure, garage ya magari mawili, uzio. Ipo pembezoni mwa Sokoine Drive Road.
Bei maelewano. Mawasiliano. 0755312233
Ina vyumba vinne vya kulala. Ipo pembezoni mwa ''New Bagamoyo Road''. Kodi maelewano.
Ulizia kwa kupiga simu hii au tuma sms au kwa njia ya WhatsApp. 0755312233
Simu tajwa hapo juu inauzwa kwa shs laki tatu na nusu. Imetumika kwa mwezi mmoja. IPO name chaja yake, inafungua program zote ikiwemo play store bila wasiwasi. Contact 0714-408238.
DAKIKA 50, 400MB na Sms bila kikomo. Bei ile ile ya Tsh 999
Wakati Juzi juzi hapa Vodacom na Tigo walimwiga kwa kuweka na wao Vifurushi.. Kapandisha kwa speed
The battle continues
JUZI...
Kama unataka kuwezezs ktk sekta ya hotel, au ardhi hii ni fursa njema kwako.
Kuna beach plots zinauzwa mtwara eneo la msanga mkuu.
Eneo linaukubwa upatao ekari 1.
Kwa mawasiliano pigs namba...
Wadau habari zenu!kuna mashamba yanauzwa maeneo ya Msowelo wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro!zipo heka kumi (10) zilizopo karibu na mto Msowelo hizi zinafaa kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.