Habari yenu ndugu zangu, nna ipad 2 hiyo ni mpya kabisa na inakwenda kwa bei ya 450,000/=
Specification zake tafadhali pitia hapa:
Apple - iPad - View all the technical specifications.
Rangi ni...
Nahitaji Piki2 Aina Ya Boxer Ambayo Haijatumika Zaidi Ya Miezi 6 Na Iliyopo Ktk Hali Nzuri. Iwe Na Documents Zake Zote. Maeneo Iwe Dar Es Salaam, Bagamoyo, Kibaha, Chalinze Au Moro Town...
Mimi Ni Mkazi Wa Dsm. Kutokana Na Ushauri Nilio Pewa Na Mwana Jf,aliye Nishauri Nifuge Kuku Chotara Nimekubaliana Nae Na Kama Kuna Mjasiliamali Ana Vifaranga Vya Chotara Naomba Ani PM
Kwa wale wenye mahitaji ya kisheria kama kuandaliwa submission,affidavit na documents nyingine pamoja na msaada wa namna ya kutafuta majina na kusajili kampuni( BRELA). Unaweza kuwasiliana na...
Kwa wale wenye mahitaji ya kisheria kama kuandaliwa submission,affidavit na documents nyingine pamoja na msaada wa namna ya kutafuta majina na kusajili kampuni( BRELA). Unaweza kuwasiliana na...
Kwa yoyote anae shift kutoka kingamuzi cha star times kwenda kingine,Naomba aniuzie kingamuzi chake au kama kwa sababu moja au nyingine hakitumii, naomba aniuzie kwani nakosa mengi jamani then...
Wanabodi nina Shida ya kununua Body Tupu ya Bus Isuzu Journey iwe Fupi au Ndefu... Na Pia Nahitaji Gearbox ya Nissan Civilian engine ya 4 Fasta au kama kuna mtu ana contact sehemu zilipo...
jamani wadau nimejichangachanga nimepata milioni 10, na nataka kuagiza gari(Subaru forestara0 kutoka japan ya mwaka 2005 na cc 1999. je itatosha? naombeni ushauri wenu wadau. naatanguliza shukrani
Model: HP 650 Notebook
RAM: 2GB
HDD: 320GB
Processor: Intel(R) Celeron 1.8GHz@ Dual Core
Webcam
Bluetooth
Card Reader
Designed for Windows 8(Supports other OS's like Win 7/XP, Linux etc)
Price...
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.