Bei zetu ni nzuri na zinazingatia ubora wa bidhaa zetu
The light will last around 10 hours after 5 hours of sunlight; it's a great way to light up an area without electricity.
If you are...
wakuu nina product ya samsung niliyoitaja hapo juu..mwenye kuvutiwa anicheck whatsapp 0653638824 pia tunaweza badilishana na simu nyingine ya android
Samsung Galaxy Pro B7510...
Kwa wale mliochoka kuamka na kukuta wezi wameruka ukuta wako na kuiba ndani mwako wakati mmelala au mmeacha nyumba haina mtu, 255 System inakuletea electrical fencing imara na za kisasa,pamoja na...
Dhumuni la Uzi huu
Dhumuni la kuanzisha uzi ni huu ni kuitambulisha rasmi kampuni ya Legacy na kuonyesha baadhi ya kazi
Ilizokwisha zifanya kwa wateja wake, unaruhusiwa kuuliza au kutaka...
Ndugu wana jf salaaaam.kama ilivyo ada leo nawaletea asali nzuri na bora iliyoandaliwa kitaalamu kwa usimamizi mzuri wa maafisa wa maliasili.
Ni aslai ya nyuki wa kubwa kutoka kigoma bei nafuu...
We have all kind of used cars as per request we have shiping facilities to dare salam port direct from muscat oman
our contact : worldcoastllc@yahoo.com...
Wadau nilipata taarifa ambazo hazikuwa kamilifu kuwa Wilaya ya kinondoni inatarajia kuuza Viwanja maeneo ya Mabwepande, Mwenye kujua naomba anijuze taratibu ziko vipi.
Vipo Mbezi juu karibu na Saint Mary Secondary school. kila kimoja kina ukubwa wa mita za mraba 1200. ukiwa katika viwanja hivyo unaitazama bahari. Bei 70mil. Maelewano yapo. Kwa maelezo ya ziada...
Wakuu kuna acre 3 nimekabidhiwa mbezi beach kwa wanaojenga apartment au hospital au kumbi za sherehe au parking.
kwa mwenye mteja anicheki 0652715232 au info@equpointproperty.co.tz
nyumba self and master inapangishwa maeneo ya tabata liwiti ,nyumba ipo barabarani ina geti,umeme maji na kisima cha ndani,vyumba 3 master ,jiko na vyoo vya ndani,self luku and parking za...
habarini wana ndugu, mimi nataka nyumba ya kupanga kuanzia januar mwakani, nimeweka taarifa mapema ili kama kuna mtu anamalizia kujenga au anajua kuna mtu anahama sehemu niweze kupata kirahisi...
habari zenu akina dada....ninauza viatu vya kike.....namba kuanzia 36-42 kutoka UK...bei ni 40,000/- kwa flat shoes na 65,000 kwa wedges....high heels 35,000/- only(clearance sale)....angalia...
Helow wana JF
Kama heading inavyosema apo juu nauza my blackberry curve 8520, bei ni sh 100,000. Ila ina tatizo la sensa ni ya kubadilisha. Kama unaitaji nipigie kwenye 0716-369299
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.