Wadau kuna shamba linauzwa Bagamoyo heka laki 4, unapata approval hadi ya kijiji, liko umbali wa KMs 50 toka Bagamoyo Mjini, kijiji cha Matwipili, njia ya kuelekea Msaata. Ni eneo uzuri kwa kilimo...
Haijatumika bei ni 400,000/=
kwa anaehitaji tuwasiliane kupitia PM
-------------------------------------------------------------------------
Specifications
Audio Mixer MG12/4FX
1.12 input...
Ni brand ya bruhm from germany,
eled tv
fhd
nch 32 tu
ina king'amuz ndani
ina hdmi port
ina usb pot
2year warranty
fixed price 615,000/=
serious buyers contact me
0714918816
South poltri farm shamba linalodeal na matunda,kama hayo hapo juu shamba lipo wilaya ya rufiji kijiji hanga,barabara yakwenda mafia kutoka dar mpaka shamba ni wastani wakm 160 kutoka dar...
Hello,
Natafuta duka linalouza blackboard/ubao kwaajili ya mtoto kuandika andika wakati akiwa home maaana anazidi kuharibu kuta za nyumba kwa kuandika andika kila mahali, pls help-nimeambatanisha...
Laptop aina ya HP 630 inauzwa. Sifa zake ni kama ifuatavyo:-
Processor: Intel(R) Core(TM) i3 CPU M370 @2.40GHz
2.40GHZ
RAM: 4.00GB
System Type: 64-bit Operating System, x64-based processor
Hard...
Eneo la ukubwa wa hekari 10. linauzwa
limepimwa na lina hati. lipo Mbande wilaya ya Temeke Dar es Salaam,
linafaa kwa matumizi ya mifugo, Real estate, Godown. nk
linafikika kwa urahisi.
Bei ni...
salama humu ndani.!
wakuu nina m10,natafuta gari,je nitapata kwenye yard.!
isiwe inakula mafuta sana..
na iwe inafaa kwa safar ya kwenda mbeya japo mara moja kwa mwezi..
natanguliza shukrani..
NI ENEO LA KIBAHA KUPITA KIBAHA MJINI SEHEMU INAITWA VISIGA, NI KILOMETA NNE KUTOKA MOROGORO ROAD KUINGIA SEHEMU HIYO YA VISIGA KUINGIA SHAMBA NA BARABARA HIYO INATOKEA BAGAMOYO NA TEGETA, KUNAFAA...
wakuu mwenye kuhitaji line ya mpesa na tigo pesa kwa ajili ya biashara awasiliane kwa no 0719004668(tuma msg au piga). laini zina document zote na zipo zinafanya kazi. Lengo la kuuza ni hitaji...
Habari zenu
Ninauza gari aina ya JEEP GRAND CHEROKEE
6 cylinder Full leather seat 3900cc automatic diesel engine good fuel consumption
BEI NI TSH 20,000,000
Napangisha frame ipo kariakoo, mtaa wa kariakoo na
sikukuu. Ni kubwa na mpya. Ni centre ya biashara, kwa
mwenye kuhitaji tuwasiliane kwa namba 0783181838
Nauza Solar System ya Watts 60 Kwa bei ya kutupa kabisa sh400,000
Nimeitumia miezi sita tu, na kuiondoa nikafunga system kubwa zaidi.
Naiuza kwasababu imekaa tu nyumbani sina kazi nayo.
System hii...
iPad inakuja na charger yake na usb cable.
used kutoka nje lakini haina scratch hata moja kwenye kioo au nyuma.
bei ni Tshs 480,000/= tu
tuwasiliane kwa 0655003510
Shamba lina ukubwa wa eka 20, lina kisima cha maji (hayakauki muda wote), nyumba ya kukaa, liko morogoro msowero,ni sehemu nzuri kwa kufuga nyuki, bwawa ya samaki, kilimo n.k bei ni milioni kumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.