Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
habari zenu.. Nina agency ambayo nimekuwa nikifanyia kazi nyumbani for sometimes now..ila imeonekana ni vema nikawa na office. Hivyo naomba kufahamu kama kuna mtu anaweza kuwa na space ya kushare...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichwa cha habari kinaeleweka ni pm kama unayo au unajua ilipo
0 Reactions
39 Replies
7K Views
Blackberry bold 9780...ipo inauzwaa,mda wowote unaipataa ukiwa na pesa yako.. Unapewa na pocket case yake..!! ## ni pm tuongee biasharaa
0 Reactions
3 Replies
942 Views
Nauza simu aina ya nokia asha na pia nauza jenereta la yamaha anaye hitaji anipm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa mbezi beach - karibu na nyumba za nssf usd 800, pia zipo na za kuuza usd 180,000 mpaka 200,000.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
lina ekari 35, na kila eka ni sh. milioni 4. lipo umbali wa km 10 kutoka tumbi hospitali. KARIBU SANA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza kiwanja changu maeneo ya ukonga karakata hatua 17 kwa 20 milion tatu tu,maji yapo na umeme upo,kinafaa kujenga nyumba ya kupangisha au kuishi kwa sababu kipo kwenye makazi ya watu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
eneo: mtwara mjini ktk mtaa wa mitengo,kipo eneo la juu na tambalale kiasi kwamba unauona mji wote,kipo 2km kutoka barabara kuu,ni jirani kabisa na mji wa zamani wa mikindani bei: beni ni...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
Samsung galaxy tab,brand new Made in korea Bei 300000 Phone 0716797416 samsung mini laptop brand new Bei 350000
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau nlikua naulizia sabasaba kumekaaje sasa hivi?je kiingilio ni sh ngap?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
reputable brands za flat screen tv at least 32" inahitajika haraka kwa bei ya chini ya soko.wahi kama wewe ni mdau wa biashara hii.Dalali msumbufu hatakiwi. weka bei na mahali zilipo zitafuatwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, nahitaji Touch Digitizer ya iPad2, kama unayo nipe bei tafadhali tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
690 Views
PATA Laptop Adapters za aina zote KWa Tsh 35,000 tu ..NA Flash disks za 8GB kwa Tshs 13,500.. KWA Mawasiliano na kutoa Order piga Namba 0658663325- Serious Buyers Only. KARIBUNI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simu ipo katika hali nzuri haina scratch ata kidogo. Ninauza kwa kua ninashida na napatikana DOM mjini. Kwa atakae penda ani-PM. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
880 Views
Natengeneza magate kwa ufanisi wa kutosha kwa mfano uliopo hapo. Pia madirisha na milango. Napatikana Makongo juu Ccm, Wote mnakaribishwa. Napatikana kwa namba 0717441590/ 0756563545
1 Reactions
0 Replies
3K Views
habari zenu wakuu. Ningependa kujuzwa kuhusu wapi naweza kupata ginseng coffee kwa hapa dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni zile za tigo, ipo poa, haina michubuko, ipo protected na scrach since day one. Tsh. 155000/ tu. (laki na hamsini na tano tu). inatumia line zote ina vifaa vyake vyote, hadi box...ni inbox...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Banda la vyumba 3 na uwanja wa kuweza kujenga nyumba 3 kubwa linauzwa.mbagala chamazi kea mkongo m.25 cm no 0715 836 836
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Nina ka ipod nano kangu, (sina uhakika na model nlotaja). Natafuta kamfuko kake.
0 Reactions
0 Replies
780 Views
Anaefahamu sehemu wanapojaza wino wa printer (refill) katika jiji la Dar anijulishe plz.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom