SOLD*******SOLD********SOLD
Nauza Suzuki Carry Truck yenye specs zifuatazo;
Registration Year / Month: 1995/07
Odometer: 79,309 km
Displacement: 660 cc
Steering: Right
Transmission: Manual
Fuel...
natafuta wafanyakazi wazoefu ambao wako tayari kujitolea kuuza machine za EFD yaani mashine za tra za kutolea
risiti kwa wafanyabiashara mbali mbali .....sifa za wauzaji au sales office hawa wawe...
Ndugu Wanabodi,
Kama kuna yeyote miongoni mwenu anayefanya biashara ya samaki aina ya SATO na SANGARA wa jumla kwa ajili ya Wafanyabiashara wa rejareja wenye viosks hapa Dar, tafadhali ani-PM...
Lipo Mbezi Msumi Kilomita sita kutoka Mbezi Lous Morogoro Road lina miembe na nyumba nzuri ya kufugia yenye ukubwa wa 240m2(sq.m)yaweza kubadilishwa na kuwa nyumba ya kupanga...
Brand new samsung st66 camera zinauzwa,zina 16.4 megapixels,3" screen,zinachukuchukua hd moview, zoom 5x digital zoom ,rechargeble battery,n.k Camera za ukweli kutoka UK mwenye kuhitaji inbox...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyo someka hapo, kitu kipo mkononi na tena ndani ya box.
Bei Tshs. 700,000.
Lakini kwa wenye uhitaji wa galaxy S used ipo kwa Tshs. 300,000.
Hi all,
mambo zenu, nauza Computer yangu..[system unit] 2gb RAM (can be extended) na HDD 320gb(can be extended also), Core i3 CPU,nSeries High Performance Unit...bado mpya kabisa..imetumika 2...
Habari wakubwa wangu wa kazi, nauza vitu vifuatavyo na ni imported kutoka ughaibuni na nakupatia 1 year warranty kwa kila kifaa utachonunua kwangu.
1. Samsung UN46D8000 46-Inch 3D LED TV, TZS 2.5...
Mark:Toyota
Model: MarkII GX100
Year of manufacture:1999
Engine capacity: 1988cc
Mileage: 108400km
Imesajiliwa Tanzania April 2009 kwa sasa gari ipo ARUSHA (Monduli). Kwa sasa bado naendelea...
Wakuu naomba msaada ni wapi ntapata shamba la kuanzia hekari 12 na kuendelea nje kidogo ya jiji la DR ES SALAAM kwani nina kamradi kadogo ka ufugaji nataka kuanzisha kujikwamua na uchumi unaopaa...
Tunadesign ramani za nyumba za mitindo mbali mbali,na kukushauri juu ya ujenzi wa nyumba yako
kwa mawasiliano zaidi
0713450840
francofmwakiwonde@gmail.com
Kama kuna yeyote anayo au anafaham inapopatikana kwa bei rahisi naomba anijuze,nimezunguka sana kkoo nimebahatisha kuiona sehem moja tu ila bei ndo imenipa homa
Before you look at existing buildings or consider buying land, let us help you decide how big your building and site need to be. We help you determine these factors by learning about your...
Carepoint Jumping Castles
Make your kids enjoy your special occasions with CAREPOINT Jumping Castle.
It will add a lot of pleasures and smiles to your kids and make the event memorable...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.