Salama wakubwa!
Nina computer za kutosha za dell, ambazo zina specifications mbali mbali kama nilivyofafanua
Pentium 3 /4
Ram ; 1GB /800mb
Hard disk ; 30GB /40GB/80GB/120GB
DVD Rom...
hi guys
mashine hiyo on sale in dar
the car is in good condition and clean interior, car specs are on image 370. it has been used for tours company. price is 12m with room to negotiate...
Nimepata mambo mengi sana tangu nilipoingia jamii forums. Wanachama wake ni watendaji kila wanaposoma issue ya mtu na kuelewa pale inapowezekana wamekuwa wanasaidia sana.
Naomba kwa mara nyingine...
Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa, kodi kwa mwezi ni tsh milioni moja ipo karibu na shule ya msingi mbezi beach.
kwa mawasiliano zaidi kwa atakaeihitaji piga 0655 44 44 40
Nokia X201 inauzwa bei poa Tsh. 110,000/=
Simu ina camera, EDGE class 32, Bluetooth, memory card slot up to 16GB, QWERTY keyboard. Wasiliana nami +255716300091/+255753686485
wanajamvini viwanja 20 viko sehemu moja,vinapatikana luchelele karibu na kwa mkurugenzi,Vimepimwa na vimetengwa kwa makazi ni vizuri kabisa,documents zote zipo,anahitajika mteja wa haraka...
Nahitaji chumba kimoja cha kupanga maeneo yoyote ya jiji la Dar es salaam yenye sehemu tulivu. Kodi 30,000 kwa mwezi na nitalipa kodi ya miezi 6 ili kuangalia mazingira kwanza. Mwenye nacho...
Asanten xana wadau kwa msaada mlonpa kutft zle cm nyngne nilzpata bt kmtaamtaa
XAXA LILILOKUBWA KUNA M2 WNG ANATAFUTA NOKIA N97 NAOMBEN MNISAIDIE NA HILI WKT KDOGO KIDOGO NAENDELEA KUTAFUTA...
Natafuta Ipod ambayo inafunction fresh na iko katika hali nzuri. Bei ni maelewano na itategemea na condition ya bidhaa yako ilivyo. PM fast kama uko interested.
Nokia X201 inauzwa bei poa Tsh. 110,000/=
Simu ina camera, EDGE class 32, Bluetooth, memory card slot up to 16GB, QWERTY keyboard. Wasiliana nami +255716300091/+255753686485
Mambo vp wana JF?
Nauza Duet Cc 900, ODO 68,700 kms iko kwenye ubora. Bei ni Tshs milioni 5.5 tu.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba; 0717 123464 au 0762 101178.
Karibuni sana.
Kiwanja kina sqm 1,500
kina hati tayari , kipo pembeni ya barabara
kipo gezaulole ,kigamboni ni km 17 toka feri
sehemu hii ina viwanja 2 vinavyopakana hiki cha super market kinapakana na cha kituo...
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo
1. Sinza
2. Kinondoni
3. Sayansi
4. Makumbusho
5. Mikocheni
Iwe ina sitting room, bed room, jiko, choo, na ka store kadogo.
Bajeti yangu ni kati ya...
NIAJE WANA JAMII!
Computers (dell) zipo sokoni kwa yoyote mwenye kuitaji. Ni desktop na zinaenda kwa 300000/- kwa set ; yan (CPU, MOUSE, KEYBOARD,FLAT PANEL SCREEN)
Feel interested...
Salaam zenu wadau, ngependa kujua kama kuna uwezekano wa kupata hii samsung s3 kwa bei nafuu na wala sichagui rangi...mnaweza kuni PM au 0712859798
Ahsanteni kwa ushirikiano
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Hijakamilika ina vyumba vya kulala vitatu, jiko, sebure na sehemu ya meza ya chakula. Ukubwa wa kiwanja mita 25 kwa 30. Bei 35mil. kwa maelezo zaidi piga simu 07171114409
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.