Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Salaam!! Ninataka kununua simu aina ya Nokia E5!! Huwa inakwenda kwa bei gani?? Nipo Tunduru jamani na sina access ya maduka ya simu. Kuna mtu nataka nimuagiza dar
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kununua simu niliyotaja aliyetayari kwa biashara anipm.
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Habari wakuu, nauza incubator ndogo ya mayai 60,inatumia umeme bei ni 230,000/= Na pia washing mashine brand name ni BEKO, RPM 1000, inauwezo wa kufua nguo kilo 5, bei yake ni 500,000/=.Kwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Khabari wana JF! kwa wale wanaohitaji viwanja vilivyopimwa 1. kuna kiwanja kipo mbweni kina ukubwa wa sqm 1000 bei yake ni ml 28 2. kiwanja kingine kipo bunju b block no'14 chenye ukubwa wa...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Ninauza gari yangu Aina Toyota Premio engine 7A Bei million 8.5 tu kama uko serious nipigie kwa namba 0714500004 Very good condition
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanajamvi, Nna mtu wangu wa karibu anahitaji jiko la kuchomea nyama lile ambalo kwa juu lina kama mfuniko na outlet ya kutolea moshi. Nawakilisha
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Watu wengi wamekua wakitaka kutumia official emails lakini wamekua hawajui ni namna gani wanaweza kuzipata. Suluhisho limewadia, kwanini uendelee kutumia jinaLako@yahoo.com , jinaLako@gmaill.com...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DVD za Elimu ya Utambuzi zenye mafunzo ya Elimu ya Utambuzi yaliliyokuwa yakitolewa na Marehemu Munga Tehenan Mhasisi ana kiongozi wa gazeti la JITAMBUE sasa zinapatikana kwa gharama ya shs 10,000...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
natafuta chumba kikubwa chenye maji na umeme
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam wana JF. Nauza HTC sensation Nawasilisha.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari tano.lipo chanika jijini Dsm. umeme upo barabara inafika hadi ndani ya eneo. ni zuri na linafaa kwa aina yoyote ya uwekezaji na kwa makazi. ni pm au piga...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana jf kuna bajaj zinauzwa, moja ni 2 strock badoimara imutumika kwa muda wa miez10 bei yake tshs.1800 000 nyingine ni tvs bado makini imetumika kwa muda wa miezi 7 bei tsh.3.4m kwa muhitaji piga...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Habari wakuu,mwenye moja ya simu hapo juu tuwasiliane
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Buy a plot in an exclusive gated community and build your dream house from TZS 15m (@ this price you get a plot,arch designs from our signature collection,architectural guidelines and plaque) or...
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Wadau wapi nitapata dish linaloshika DTV??? naskia wataonesha CL
0 Reactions
3 Replies
858 Views
Habari, Nahitaji kununua line ya u wakala wa tigo pesa na M pesa kwa mtu yeyote alieshindwa biashara...... Hii ni kutoka na que kubwa ya wateja kwa ajili ya kupata uwakala M pesa na mimi nipo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba yenye eneo kubwa kabisa inaunzwa Ukubwa wa kiwanja ni 60x120 uwanja wote umezungushiwa ukuta nageti nyumba ina 4 bedrooms 1 kitchen 1 dinning room 1...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
iphone 4 16gb for 700,000 htc hd7 16gb for 650,000 and ipad2 16gb 3g&wifi for 800,000. Be updated and beyond others with latest products.
0 Reactions
0 Replies
736 Views
House for Sale in Block G, Plot na.1417 Tegeta (Ma site) Kinondoni Municipality DSM Size:1291M2 Guide Price: Tshs.350,000,000 ( milioni mia tatu na hamsini) Description: It is very private and...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
ninauza Suzuki carry iliyoingizwa nchini hivi karibuni namba ya usajili ni T......CBN ni 4WD mwenye kuhitaji awasiliane nami (Dalali Hana nafasi)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom