Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Halina hati ya serikali kuu bali lina hati ya serikali ya mitaa/kijiji. barabara inafika hadi shambani. Eneo ni tambarare, inafaa kwa ujenzi na kilimo. napatikana jumamosi na jumapili tu, kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau nauza FLAT TV HD READY SHARP 32 INCHES INA HDMI CONNECTIONS...INA HALI NZURI USED NIMETUMIWA NA RAFIKI YANGU TOKA JAPAN.....BEI 750,000 MAONGEZI YAPO...NIPO DAR CITYCENTRE...KAMA UPO SERIOUS...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Used bt in very mint condition ... Price 300,000/- !! 0656 664 714 or PM #serious buyer plz NOTE: price negotiatable
0 Reactions
0 Replies
686 Views
wadau naomba mnisaidie eti nyumba ya kunua manzese maeneo ya tiptop upande ule mabibo ni sh ngapi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba taarifa muhimu au contacts ninapoweza kujua kuhusu kuwa agent wa ORYX Gas(Distributor). Naomba msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali zenu wana bodi, Naleta kwenu tangazo la kuuza eka moja ambayo ipo kibaha kwa matias. Ni mkono wa kushoto kama unakwenda morogoro. ni jirani na makao makuu ya chuo kikuu huria. eneo lina hata...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mahitaji PCs,printers,scanners,cameras, cables,servers,softwares na mengineo brand new kwa bei nafuu tofauti tuandikie sales3@orange.co.tz. :wink2:
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu mwenye hiyo bidhaa naihitaji sana.specifications RAM 1GB, HDD 40.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina nyumba chakavu katika maeneo yafuatayo. kinondoni shamba , kuna nyumba 3 kati ya hizo ni moja 2 ambayo gari inafika nyumba hii ni ndefu ina ukubwa wa 30m X 14m, bei yake ni 35m mazungumzo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Changanyikeni, Savei ama Makumbusho. Vyumba kuanzia viwili na kuendelea + Sebule + Jiko + Iwe ni self contained.. Iwe na Fence pamoja na Parking ndani...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Ninauza viwanja vifuatavyo katika eneo la kibada huko kigamboni, ni km 16 kutoka feri hapa naweka ukubwa wa kiwanja na bei yake. vyote vimepimwa na vinaonekana kwenye ramani. 2000 sqm Tsh...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna exbox game wadau iko complite na pad zake inatakiwa lak tano tu
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshafanya biashara na Sakura Automobile je ni waaminifu kama Autorec?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wana JF kwa aliyokua anaitaji suzuki escudo hiyo sasa. bei ni sh million 14,000,000 tu
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa Kigamboni.Plot no126 Block14,ukubwa 530sq.M,Bei ni 20000000Tsh.Hakuna dalali,tuwasiliane 0753875055
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ULTIMATE TECHNOLOGY provides web design, domain registration, web hosting, internet marketing and graphic design services to Tanzanian businesses, individuals and corporates. We do improve...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Hi Wadau, natafuta ofisi iliyotulia maeneo ya Ali Hassan Mwinyi Road au Morogoro road (from Ubungo to Shekilango), jengo liwe zuri, (square m 12 hivi), bei iwe reasonable, please kama unajua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza kikamilifu. Naombeni mwenye kufahamu sehemu nitakayopata ardhi nzuri yenye rutuba maeneo ya mikoani kwa TZS 30,000 kwa ekari kwa ajili ya kilimo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
oi, nauza psp aisee ,16 GB ,used ila its in a good condition ka vipi nakupa warranty according 2 makubaliano. the colour is white (coz black r very common) ,kwa wale wapenda mauzo this is your...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Wazee Nina exchange iPhone 4 iOS 5 ... Nataka ps 3
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Back
Top Bottom