UPDATED 15th MAY
NYUMBA BADO IPO NI MIL 40 TU CHANGAMKA
Ni nyumba ya kisasa kabisa, iko kitunda/kipunguni karibu na moshi bar. Ina sebule ya kupumzika, sehemu ya kulia chakula, vyumba vitatu...
Nahitaji mkopo wa Laki 5, nitarudisha laki 6 after 3 days.Nitaweka my Dell laptop kama security.Nnazihitaji by saturday, niko Dar, mwenye nazo anitumie namba yake fasta.
Technology 4 Africa Co. Ltd ni kampuni inayotoa huduma zote za IT ikiwa ni pamoja na Computer maintenance and troubleshooting, Networking and technical support, website/graphics designing...
Wadau ninauza my Nokia N900 ina mwaka mmoja na ipo katika khali nzuri. Ina 32GB built in na memory card ya 16GB. Nimeamua kuiuza sababu ya matatizo tu. Bei ni kuanzia 450,000/- ina ina accesories...
Anahitajika fundi wa kutengeneza Sign board lenye kutumia taa.
Awe mkazi ws Dar es da es.
Kw maelezo zaidi piga:
nimuhimu ukiwawah;
simu +255713-810857
Hey guyz just signed up on R.N....check owt my tracks n give me your feedback FatzBeatz | Dar es Salaam, TZ | Hip Hop | Music, Lyrics, Songs, and Videos | ReverbNation :)
Wadau kiukweli kuna bidhaa hizi zinauzwa bei chee mno, lkn wenye nazo hawajui au wakokizamani sana kuuutangazia umma juu ya bidhaa zao. Mchana wa leo nimenyanyua laptop saafi dell lat. D 630 kwa...
Nokia 5800 Xpress Music inauzwa kwa laki 3 tu. Ni very new, bei ya dukani ni laki 6, but nauza kwa nusu bei tu.Kama una hela pungufu please don't bother to call.Wenye mpunga kamili call me @ 0788...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.