Ipo fresh kabisa, betri inatunza chaji kwa cku 3 au zaidi, touch screen, ina google map n.k. ina internal memory 40mb, haina dosari yoyote ile.
bei yake 150,000. contact 0714-408238. ni original.
Wakuu habari za siku nyingi.
Jamani nilikuwa naomba mwenye ramani ya nyumba ya vyumba vinne na sebule anipatie.
Kama kuna mwenye nayo on soft copy ani PM then ntampa contact zangu.
Ntashukuru...
Je unatafuta "nyumba ya kupanga nzuri na ya kisasa?? Umechoka kuzungushwa na madalali??"
hii ni habari njema kwako…
· nyumba ni mpya, haijawahi kupangishwa
· ina vyumba...
Wakuu nlikua nafanya kazi mkoa fulani na sasa nmepata kazi hapa Arusha. Na kwa bahati nzuri nmenunua kijibanda hapa, hivyo nadhani patakua makazi yangu ya kudumu. Dhumuni langu ni kujiunga na...
Napangisha fremu ambayo iko kati kati ya bora na maduka mawili
kuna barabara inatazamana na changombe road inaitwa njia panda toroli
wasiliana na 0713 68 96 65, kwa maelezo zaidi
bei yake ni tshs...
Salmu kwa wan JF wote.
Jamani natafuta mashine ya kuetengezea chalks za mashuleni mfano huo hapo. Mwenye taarifa wapi naweza kupata tafadhali anijuze.
Thanks
Hello wadau wa JF
Nauza My laptop Mac book G4, The reason behind ni kwamba nimenunua nyingine ya kisasa zaidi na hii ni kama Old fashion kwangu
Unaweza kuperuzi Google kuicheki
Bado ipo fresh...
Imate Jasjam [HTC Hermes 100]
Natafuta battery na housing ya Imate Jasjam haraka. Ziwe mpya au used lakini katika hali nzuri.
Aina ya battery:-
Standard size Li-Ion
Chemistry Li-Polymer...
Shamba ekari 80 linauzwa karibu na eneo la Jaribu-Rufiji km 2 kutoka Kilwa Road.bei maelewano. Shamba linafaa sana kwa kilimo cha nanasi na matunda aina mbalimbali. piga simu 0784281824
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.