Iwe na chaja,usb,earpiece
Iwe ina multitasking capabilty
Iwe touchscreen au qwerty
Iwe in good condition
Ela itatolewa kulingangana na simu kwaiyo amna exact price
Aliye tayari kupewa...
Mambo vipi wana JR? Natafuta rottweiler puppies au mbwa wakubwa, kama kuna mtu ana information yoyote wanakopatikana naomba anisaidie. wakiwa wamecross nayo sio mbaya kupunguza ukali.
Kwa...
Wakubwa kuna chumba na sebule na choo chake ndani kinapangishwa maeneo ya mbezi beach (ya chini)
kutoka nyumba ilipo na barabara kuu ni 1KM . Hicho chumba na sebule vipo ndani ya fensi gari hata...
wakuu naombeni msaada wenu wapi ntapata sticker za kuweka ukutani badala ya kupaga rangi nyumba.na bei pia ikiwezekana kwa square meter ni shilingi ngapi.hapa dar
nyumba nzuri sana mazingira mazuri sana Room tatu na Sitting kwa mwez laki 3 ipo kurasini karibu na chuo cha diplomasia.usi ni pm kwa maelezo zaidi piga 0719390285 / 0752935772
Wajameni kuna mdau aliwahi kusema hapa jamvini kuwa kati ya tablet nzuri ,Asus Eee Pad Slider 32GB ni tablet nzuri sana,na kweli nimebofya nimeona ni nzuri yaani ni kama Min laptop vile,sasa...
Nyumba inapangishwa kariakoo. gerezani karibu na ukumbi wa gerezani. ina uzio mkubwa wa tofali. inafaa kwa kuishi, yard, office n.k. Price $6000 per month negotiable.kama uko interested pm me
wapendwa wana JF nahitaji mtu wa kupanga kwenye nyumba ninayoishi. nina chumba kimoja kiko wazi full furnished.
yeye ni kuingia kulala. nahitaji kijana au dada ambaye ndio anaanza maisha hana...
Wadau kunam2 kantembezea pkpk aina ya Honda toka japan. Ni cc 90. Anadai anamatatizo so nimpe laki 8. Mm cjui aina ya pkpk nzuri na bei yake pia. Naombeni muongozo wenu tafadhali.
anayetaka kufungua simu kutoka nje, au yenye magonjwa mbali mbai kama kuzima, kuondoa taka taka Muone Mwesiga wa Empress Cinema na Kariakoo aggrey, naponesha sana, na eti ndio mwanzilishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.