Bajaji inauzwa.
number ni BPT ina miezi nane toka ianze kazi iko Dar es salaam, TVS king iko safi kabisa hata guarantee inatolewa kwa mnunuzi serious, pei ni 3.8Million.
kwa anaye hitaji nicheki...
Anahitajika mtu mwenye ujuzi wa kutafsiri Kisomali kwenda Kiingereza.
Ni kazi inaweza kuchukua hadi miaka mitatu na malipo sio mabaya.
Kwa mfano, ukurasa mmoja wa maneno 450 ni TZs 32,400.
Anaye...
Viwanja vinauzwa vipo Mbezi Makabe (KM 3.5 kutoka Morogoro road), Mbezi Msakuzi(KM 5 kutoka Morogoro road), na Kwembe-Kibamba(KM 2 kutoka Morogoro road). Mita 20*25 bei 3.5M, Mita 20*25 bei 3M...
Wadau naomba kuwakilisha kama ifuatavyo:
Nilikuwa natafuta simu aina ya samsung double line, nilipofika dukani muuzaji akaanza kunisifia kuhusu toleo jipya la TECNO HD na akanipa modeli HD 51 kwa...
Suzuki vitara milango 5 manual, rangi nyeusi metaliki na ipo kwenye hali nzuri inatembea. inauzwa bei poa Tsh 7800,000/: ipo maeneo ya kawe dsm. kwa maelezo zaidi piga 0713664326
Narudia tena jamani wana JF napangisha nyumba maeneo ya njiro Nane Nane karibia na Uwanja wa Maonyesho ya kilimo TASO grounds, nyumba ina Sitting room, masterbedroom,study room,bedroom,kitchen...
In todays world a manager is faced with numerous responsibilities that require undivided attention. There is so much to give and there is less improvement on the self. Rarely do managers take...
Sasa kwa shillingi laki moja unaweza piga simu na kutuma SMS kupitia iPad yako kwa kutumia line yako ya simu. Kwa maelezo zaidi ni pm... Asanteni... Na Iko iPad 1 64gb 3G and wifi kwa 850,000/=
B Kubwa Production ina penda kuwatangazia kwamba inatafuta mabinti ambao watashiriki katika kushoot video mpya ya mziki ambayo inatarajiwa kutengenezwa hivi karibuni.
contact :0718888840
Seven Estate Agents inatangaza nafasi ya kazi, ofisi meneja.
Sifa za mwombaji.
1.Awe na uwezo wa kuandika na kuongea lugha ya kiswahili na kiingereza kwa ufasaha.
2.Awe anajua kutumia...
naitaji gari aina ya Toyota GR-Mark II kwa shughuli zangu za kawaida, yeyote mwenye nayo na yuko tayari kuuza ani PM niko tayari kuinunua kwa bei isiyo zidi Tsh. milioni 3 ikawa ina hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.