Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Heshima yenu wakuu Kama jambo hili litakuwa si mahala pake naomba mnistahi. Nahitaji kufahamu kwa kina ama undani wa charges za kuingiza gari nchini baada ya malipo ya CIF inakuaje. Na gari hiyo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu!!! Nauza 1Tb aina ya seagate(Go Flex) kwa bei ya Tshs 225,000/= zinatumika kwenye Operating system aina yoyote. Kwa anaehitaji naomba ani-PM kwa mawasiliano ziadi. Asante.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jipatie External harddisks 2.5" za brand za SAMSUNG, LG, TRANSCEND ukubwa wa 500GB kwa Tsh 140,000/= tu.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tunaprinti na kudizaini, business card, t-shirts, adverts etc kwa mawasiliano-0717 081 415
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu,naomba msaada kama kuna nafas za tempo zinapatkana kuanzia saa kumi na mbili jioni (after my class hourz). Ni mwanafunz wa degree ya banking & Finance katika chuo cha usimamizi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rangi Cream White Model 2002 Bei 12 million TZS Angalia picha zake hapa chini ukiridhika Wasiliana nasi kwa namba. 0713 531152
0 Reactions
23 Replies
25K Views
NINAUZA TOYOTA MARK II GX 100 ya mwaka 2000 bei 8.8 IMEINGIA TANZANIA MWAKA JANA MWEZI WA SITA mawasiliano 0713 99 45 42 (picha zipo nimeshindwa kuattach hapa)
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nyumba inapangishwa mbagala maji maji matitu vyumba vya kulala vinne, kimoja self container, sebule moja, dining room, jiko, choo na bafu ndani, na stoo- bei laki mbili- mawasiliano- 0717 08 14 15
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo Arusha mjini. Nina utaalamu wa ku-design all kind of grafix (logos, flyers, brochures, magazine, annual reports, invitation cards etc) kwa kutumia Adobe CS5, nina design pia TV adverts kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakubwa, Nauza Nissani Hardbody D/Cabin. Ipo kwenye hali nzuri sana. Naitumia mimi mwenyewe. Details: Year: 2001 2WD, ina Diff Lock Imetembea 157,000 Km Flow gear, gear lock, remote control -...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wanachama wa jf. Napenda kuwajulisha kuhusu huduma ya usafiri kwenda Loliondo kwa Babu. gharama zetu ni nafuu sana. Gari lenye uwezo wa kubeba abiria 8 pamoja na Dereva. Gari zina air...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiwanja kiko mbezi beach africana bei maelewano ila kwa kuanzia 15ml.kiko njiani gari inafika. Ukubwa upana mita 15 urefu mita 20 tuwasiliane
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Familia ya kisanga inapenda kuwajulisha mciba wa mtoto wao gabriel kisanga uliotokea jumamosi kwa ajali ya gari akitokea moshi..gabriel amekuwa kiongozi wa akudo banda,amefanya kazi riki hottel...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana Jamii! Ninauza Amazon Kindle (book reader) pamoja na Leather Cover yake ambayo ina taa kwa ajili ya kusomea katika giza. Black Leather Cover with Light Bei = USD 320 Kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu natafuta netbook mpya or used which is in a good condition: Mtu mwenye any of this models and yupo tayari kufanya biashara tuwasiliane. 1. Samsung NF310 2. Acer Aspire One D260 Bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
tsup? Natafuta laptop used yenye spec hizi 2ghz n abve 2gb ram n abve 250gb n abv 14 inch n abve Tshb,hp or del Iwe below 570,000tsh! Yeyote ambaye anauza,plse cntact me 0715955896 or...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natafuta scrapper za machine iliyotajwa hapo. Kama unayo eleza offer yako. Thanks!
0 Reactions
0 Replies
984 Views
I need to open my new modern Barbershop in southern region of Tanzania. Please anyone who know where I can purchase all items including hydraulic master barber chairs, kiddie styling chairs...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Compctor machine aina ya HONDA inauzwa Bei 2.5 milion kwa mawasiliano piga namba 255712404936
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza tractor aina ya MASSY FERGUSON MODEL 158 HP 60 kwa maelezo zaidi nitafute kwa namba hizi 255784280551 au 255712404936
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom