FORODHANI CITY nakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema,
BEI SASA NI MILIONI MOJA NA LAKI TATU (1300000) TU . Ni Viwanja vizuri sana VIMEPIMWA,
UKUBWA kwa kila...
• Direction: Picha ya Ndege
• Survey: Surveyed and planted with beacons
• Plot Area: 3,886 sqm
• Document: Sales agreement (title still on process)
• Price: TSH 100 million
• Viewing charge: TSH...
Nyumba yenye kiwanja kikubwa inauzwa Tegeta kama ifuatavyo;
1. Nyumba in vyumba vitano
Vitatu vipo juu, kimoja ni master na viwili vipo chini na public toilet, sitting, kitchen and dining. Ipo...
Kiwanja kinauzwa,kipo Mlandizi Msufini sheli, Block J, kama unatoka Mbezi kipo mkono wa kushoto, kina ukubwa wa SQM 753 (39.56 urefu kwa 19.01 upana) ni kiwanja kwa ajili ya makazi.
Kiwanja kipo...
Habari za majukumu wapendwa
Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi
Eneo lina hati ya...
Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City
Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni.
Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika...
Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili
BEi: 15 million
Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa
Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k
Hyo barabara...
VIWANJA VINAUZWA GOBA KANTINA (MAKONGO ROAD)
Viwanja vipo mita 30 tuu kutoka barabara ya Lami ya Makongo.
Viwanja vipo tambarare kabisa.
Dakika 2 tuu kutoka site mpaka Goba Centre.
Dakika 15 tu...
Kipo Kibaha kwa Mathias Msangani karibia na zahanati ya Msangani. Kina ukubwa mita 30 Kwa mita 20. Bei milioni 3.
Miundo mbinu iko vizuri. Barabara ya lami, bajaji 1000, boda 1500.
Kiwanja caha biashara kipo opposite na New kibo complex Tegeta kina ukubwa wa 1260 square meters
Kinafaa kwa matumizi ya biashara kama petro station, apartment, Maduka n.k
Kianuzwa 850M
Mazungumzo...
Habari!
Nauza beach plot ambavyo viwanja vipo Kigamboni Buyuni idadi ya viwanja ni 10 na vyote vinaukubwa tofauti tofauti vinauzwa vyote kwa pamoja kwa garama ya shilingi 250ml kwa maelezo zaidi...
KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA
_______
MAHALI-MICHESE BLOCK ZF
_______
UMBALI TOKA TOWN-6KM TU
________
UKUBWA-479SQM
__________
BEI 12M
-DOCUMENTS ZAKE ZA UMILIKI ZIMENYOOKA
0622111186...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.