Luxury Quartz Male Wrist Casual Leather Band Watch
Brand: Miler
Condition: New
Band Material Type: Leather
Case Material: Stainless Steel
watch color: black & brown
Price: 40,000 ( Haipungui )...
Nilinunua piki piki kwajili ya matumizi binafsi kwenye shuguli zangu za kila siku.
Kwa sasa nimepata usafri mwingine kwajili ya shuguli zangu.
Na mimi ndio mwenyewe piki piki hii na...
Wadau nilinunua hii mashine mwaka jana mwezi wa 11 hivyo bado mpya ina milango 8 na master,shilingi 600,000/=,kinachonisababisha kuuza ni kukosa usimamizi wa biashara niliyotaka kuifanya...
Nauza Metal feni iliyotumika muda mfupi, infaa kwa matumizi ya kumbi za mpira, baa, club, kanisani na sehemu kama hizo. Bei ni 120,000. Tsh. Ni inbox nikuuzie.
Najua ni wengi wanakereka na hili,lakini zipo njia nzuri za kuweka mwili sawa, FITNESS EMPIRE tunakuletea kifaa rahisi kwa mazoezi ukiwa nyumbani kifaa ambacho unaweza fanya mazoezi ya mwili mzima...
MAHINDI yanauzwa Tsh 470/kg
Ziko tani 400
Mzigo unapatikana tabata- Dar es salaam.
MAGUNIA yaliyotumika mara 1 yanauzwa.
Yako 2200
Bei kwa gunia 1 ni tsh 2500
Magunia yanapatikana tabata- Dar...
Wakuu habari za mihangaiko na kutafuta maendeleo!.
Nimeanzisha Uzi huu maalumu kwa lengo la kuwaleta Engineers, Civil contractors na project managers pamoja kwa lengo la kupeana taarifa...
Habari Za mchana, kuna shamba Linauzwa vifaa tunauza vifaa vilivyokuwepo ndani ya shamba kama ifuatavyo; solar panels na battery yake size ya 300watts laki 6,vitanda viwili 4*6 kila kitanda laki...
Radio
Spika
Majiko
Feni
Taa
Pasi
Ulizia kitu ambacho hujakiona hapo, bei zilizobqmdikwa ni za jumla ukitaka 1 utaongeza pesa kidogo tu.
Karibuni sana 0625547181
Tsh 200,000
Warrant mwaka mmoja
Tunapatikana kkoo msimbaz na China Plaza FL ya pili ukiagza tunakuletea ulipo mda wowote sisi ni huduma kwanza malipo baadae free delivery
Contact :0714417739
Achana na kilimo cha kutegemea mvua
Sasa nawaletea GREENHOUSEDrip irrigation , drip tapes na accessories zake na reserve tank la lita 3500 kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji kisicho na stress...
Magauni ya harusi yamekodiwa mara chache yana hali nzuri , moja ni jipya , pia yapo ya send off na sherehe mbalimbali . Yanafaa kukodisha au matumizi binafsi. Kuanzia laki moja (100,000 -200,000)...
Kabati Na top hapo nipo mbagala mbande top 120000/ Kabati laki mbili Na nusu vioo vya shelf ya kat vimevunjika mdau anaweza anaweza kuweka vingine mamba ni 0656560824
Habari wadau,nauza maziwa ya ngombe fresh kwa bei ya sh 2000 ,maziwa mtindi 3000 kwa kila Lita,kama utachukua kila siku being inaweza kushuka .
Mayai ya kienyeji tray 15,000
Ninaishi kiluvya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.