Wakuu habari za Leo.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume , ninapatakana Dar es salaam.
Naomba kazi, kibarua cha aina yoyote cha mkataba, cha day Yani kazi yoyote Ile, kwa...
VACANCIES AVAILABLE
Hotel Location
Dar es Salaam, City Center [Posta]
1. HOTEL MANAGER
2. HOTEL SUPERVISOR
3. HOTEL MARKETING MANAGER
4. HOTEL RECEPTIONIST (3 Posts)
5. HOTEL CHEF (3 Posts)...
Habari!
Takribani week 2 zilizopita, Shirika la madaktari wasio na mipaka (Medicins Sans Frontieres) ambalo linajihusisha na huduma za afya kwenye kambi za wakimbizi walitangaza nafasi za kazi...
Org. Setting and Reporting
The post is located in the Chambers Legal Support Section of the International Residual Mechanism for Criminal Tribunals (IRMCT), Arusha Branch. The incumbent will work...
POST HEAD OF QUALITY ASSURANCE AND ENVIRONMENTAL MANAGEMENT UNIT – 1 POST
EMPLOYER Shirika la Uvuvi (TAFICO)
APPLICATION TIMELINE: 2024-06-02 2024-06-22
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.To develop...
ADVERTISEMENT FOR THE RECRUITMENT OF A FIRM OR INDIVIDUAL PROFESSIONAL CONSULTANT.
About YOUTH WINGS (YW) – Tanzania:
YOUTH WINGS (YW) is a dynamic youth-led Civil Society Organization (CSO) based...
Job Title: RF & Transmission Engineer.
Job Description:
Perform test and engineering evaluation events for communication systems to include Planning, execution and reporting for these events...
JOB TITLE: CIVIL ENGINEER
We are looking for an experienced, driven site engineer with a wealth of industry knowledge.
Responsibilities
He/she analyzes data such as survey reports, long-range...
Helloe, Mimi ni msichana Nina miaka 27,elimu yangu Diploma natafuta kazi idara ya afya "clinical officer" nipo mkoa wa Ruvuma, kwa mawasiliano naomba kuni DM.Asanteni niwatakie kazi njema kwenye...
Wakuu nmekua nkitafta kazi ya utingo kwa mda mrefu bila mafankio.
Nia yangu ni kupata uzoefu tu Wa kuendesha maroli ili na mm dadae niwe tayari kujiombea kazi mwenyew kama dereva.
Ntashkuru kwa...
Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12...
Habari za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza maswali gani kwenye interview za wizara ya mambo ya nje position ya Foreign Officer II, wanakua wanauliza kwenye ngazi ya written interview.
Habari za jioni,
Jamani mimi nina shida na kiongozi yeyote kwenye sekta ya afya ili wanitatulie tatizo langu la kukosa mshahara tangu mwaka 2017 hadi leo hii 2023.
Nitatoa maelezo kamili kama...
Nishawapigia simu sana hawapokei nishatuma email huu Ni mwezi wa3 Hakuna walichobadilisha
Nilikosea katika ku click nikajikuta nimerudii academic qualification zAidi ya mara4 nataka kufuta ibaki...
Za asubuhi wakuu,
Kuna NGO nyingine unaweza kudhania kuwa ziko serious kumbe sivyo. Niliomba kazi kwa shirika moja lenye makao yake Australia. Wakanichagua kwenye shortlist, baada ya wiki moja...
Naitwa device frabius, naishi dar es Salaam mbezi mwisho.
Mimi ni dereva nilikua nawaendesha wazungu ila mkataba wao umeisha wamerudi kwao saivi sinakazi natafuta gari ya kuendesha bolt au Ata...
Naitwa Rama Pepe naishi dar natafuta kazi ya kuedit na kushuti muvi mimi ni Editor na pia ni Cinematography mwenye uzoefu wa miaka 7 nafanya kazi mahali popote napatikana kwa namba 0699524998
Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.