Ety watu wanaunda umoja wa waalimu wasio na ajira(NETO)
Hivi kazi zote hizi kitaa wewe una shahada unashindwa kufanya mpaka ulalamike??
Ajira hakuna ila kazi ni nyingi tumieni akili
Wakuu nilileta ombi bado sijapata kazi ni mhitimu wa degree ya sheria natafuta kazi yoyote iliyoko ndani na nje ya taaluma hii pia.
Naweza kufanya mahakamani, kwenye law firm mbalimbali, etc iwe...
Natafuta kazi ya Agronomist (mtalaam wa kilimo
Elimu yangu: Bsc. Horticulture
Uzoefu wa kazi katika kilimo Kwa miaka 3
Rubis Agri Ltd
1. Uzalishaji mahindi ekari 200 sawa na ton300 Kwa mwaka
2...
Habari, naomba niweze kutoa uzoefu kidogo kuhusu nilivyoona baada ya kuhudhuria usaili wa muktadha wa muktadha wa mdomo (oral interview).
Kusikiliza kwa ufanisi: Sikiliza vizuri kabla ya kutoa...
JOB DETAILS:
Description
1) Ensure the site management safety and working normally Setup lock for fence, machine room, tank fuel and generator.
Clean the site: inside machine room, fan, the face...
Habari wakuu
Mimi ni ke umri miaka 25, natafuta kazi yoyte halali ndani ya Dar, naishi Kigamboni, nina uzoefu na kazi ya uwakala na sales. Nina Nida, TIN na Certificate... Naomba msaada wenu jua...
Hizi ndizo kozi zinazoongoza kwa kutoa mishahara minono Tanzania:
1. Petroleum chemistry, 8,000,000 Tsh kwa mwezi
2. Chemical engineering, 2,000,000 Tsh kwa mwezi.
3. Mining Engineering...
Habari ndugu na jamaa, naitwa Abduly mtenya natafuta kazi ya udereva ni mzoefi wa miaka 6, na sifa zote za udereva 99%…
📲whatsapp number & calls for more information +255659972797 asanteni👏
Position: Content Manager/Moderator (7)
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Organization: JamiiForums
About Us:
JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated...
Job type: Full-time
POST COMPUTER ANALYST PROGRAMMER II – 3 POST
EMPLOYER Bank of Tanzania (BOT)
APPLICATION TIMELINE: 2024-12-05 2024-12-19
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES...
Hello,
I am wondering what is the average monthly salary for developer/software engineer in Tanzania? Junior/Senior levels?
Je mshahara wa programa wa kompyuta ni kiasi gani kwa mwezi? wastani...
Habari,
Naomba kwa yeyote anaejua kampuni au sehem nyingine ambapo wanapokea wanafunzi wa field kwa kozi ya degree of marketing and public relations mkoa wa Mbeya.
Habarini Wana jukwaa.
Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi.
Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics.
Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.