Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Kazi ambazo naweza kufanya ni: ✅Graphics Design(Logo design, posters design....nk) ✅Motion graphics ✅Video editing ✅Photography ✅2D animation ✅Design learning content for adults ✅Online courses...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari, mwenye anajua maswali ambayo huwa yanaulizwa kwenye mtihani wa kazi za afisa mikopo (credit officer). Naomba anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Name: David Ndile Location: KITUNDA-DAR ES SALAAM Education Level: Bachelor of Education in Science with ICT Nafundisha Masomo ( Chemistry na Computer) Naomba Kama unahitaji Mwalimu au una...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
hellow guys naomba meongozo written interview question credit officer,mfuko wa self self MF
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani tuwe makini. Kuna kampuni naona imejitokeza kwa kasi, African Child Aid inaitwa, wanatangaza kazi mbali mbali. Ukisha apply, utatumiwa email kuwa umekuwa shortlisted ila unahitaji...
4 Reactions
44 Replies
22K Views
Wakuu, naomba kujuzwa kwa anaejua usaili wa dereva wa serikali uwa mambi gani muhimu yanaulizwa na kuzingatiwa. Asante.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
PETIT Worldwide Investment Ltd, a company dealing with provision of education services, is looking for the competent staff to fill the following vacancies in her schools located in Dar es Salaam...
1 Reactions
3 Replies
480 Views
Mimi ni kijana nae jitafuta lakin nmekutana na changamoto nyingi na ngumu ,nahitaji kama laki 3 angalau niweze kusimama Hivo naomba mtu ambae anaeweza kunipa kazi angalau nipate hicho kipato...
13 Reactions
51 Replies
2K Views
ni kwann pccb wanalipwa hela nyingi sana
2 Reactions
38 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, nawasalimu sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nalifkisha hili kwenu ili kupata msaada wakuu, kuna binti anatafta kazi ya kuuza duka la nguo (zakike/kiume), supermarket...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wasakatonge. Jamani Hebu Tuje Tujadili kitu kipi kinaendelea katika ulimwengu wa Secretariat ya ajira (PSRS) Hali ya kuita watu interview imekuwa kubwa kuliko kuita watu kazini. Wakiita...
1 Reactions
0 Replies
505 Views
hope you are all well: I am a graduate of the University of Dodoma (Udom), Tanzania. If you are ready to learn about Tanzania SWAHILI language of the world, I welcome all. I teach through either...
1 Reactions
5 Replies
573 Views
Habari zenu mabibi na mabwana! Naomba mwenye information kuhusu percentage wanazowakata recruiters wake,especially nbc bank tellers na vodacom customer care!!ntafurahi endapo ntajulishwa na...
2 Reactions
53 Replies
32K Views
The government has formed a team to investigate complaints of workers against recruitment agencies they accuse of engaging in exploitative arrangements, to determine if they are observing the...
4 Reactions
28 Replies
11K Views
Habari Wana Jf. Twende kwenye mada moja kwa moja, huyu jamaa wa kuitwa Denis Magesa anapatikana kwenye Mtandao wa YouTube,Ana dai kuwatafutia watu kazi za mashambani, kazi za udereva na kuosha...
10 Reactions
47 Replies
6K Views
Position: Graphic Designer and Social Media Officer Employment Condition: Full Time Job Gaini Company Limited (GCL) is among the leading Building Material and Hardware items sellers in Lake Zone...
2 Reactions
3 Replies
498 Views
Position: Driver (STREPHIT) Job Type: Non-Staff opportunities Type of Requisition: NPP (National Project Personnel) Grade Level: N/A Primary Location: Tanzania, United Republic of-Dodoma Duration...
0 Reactions
3 Replies
388 Views
Position: Safari Driver (Tour Guide) Responsibilities Understands the company’s objectives and standards, values, and culture of the company applying them on the job daily. Greet all guests...
0 Reactions
1 Replies
308 Views
Position: Intern – OP HME Maintenance (Re-advertised) INTERN POST(S) AND QUALIFICATIONS REQUIRED: • OP HME Maintenance (1 post) – BSc in Mechanical Engineering. • Female Graduates and...
0 Reactions
2 Replies
376 Views
Back
Top Bottom