Habari wa kuu,kuna mdada mwaminifu na mchapa kazi anatafuta kazi ya kuuza duka la madawa hapa Dar es salaam.
Taalauma yake ni Nesi ila amekuwa akifanya kazi ktk maduka ya madawa kwa muda...
Hbr za asubuhi Wana jamvi ni nini kimetokea kwenye page ya ajira portal maana naona haifunguki na na inaandika hakuna taarifa zozote au wamefuta page ya ajira portal?
Habari wanajf,
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Serikali ya Rais Samia suluhu imedhamiria kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 28000 mikoa yote Tanzania bara kwa mwaka wa fedha...
Wakuu kwema?
Ndio dunia inakabiliwa na tatizo la upungufu au ukosefu wa ajira ila kama watu tunaojihurumia ni vema kuchagua mwajiri bora na si bora mwajiri.
Kuna ofisi au taasisi zina watumishi...
Wakuu kuna bwana mdogo kapata kibarua sehemu lakini bahati mbaya au nzuri msahara wake wameuweka katika mwaka, kwahio kashindwa kujua makato yake yatakua vipi. Kaja kwangu nimsaidie, lakini pia...
Wakuu habari Majukumu!
Wakuu Mimi ni fundi Ngungwa (Kibarua),
Nimefanya kazi Mradi wa Mwalimu Nyerere Rufiji lakini toka nimalize mkataba wangu kule mwezi wa 9 mwaka jana sijapata kazi...
Hapa Dar es salaam nikienda kiwanda gani au kampuni gani kuomba kazi nitapata ???
Naombeni connection ya kazi wapendwa
Kazi yeyote,hata hapo officne kwako kama wanahitaji mtu wa usafi ni connect...
Anatatafutwa mwalimu kwa ajili ya kufundisha katika 'Tuition Centre'.
Sifa
1. Elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea.
2. Kidato cha sita awe amesoma PCM na atafundisha masomo ya Physics...
Njoo kazini utapata nafasi
Tunachakata taka (Recycling)
Tunahitaji Waokotaji Taka (Waste Pickers), toka majiji na mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani.
Mwisho wa Maombi 30/6/2024
Tupigie...
Habari!
Mimi ni mwanafunzi wa Ordinary Diploma In Electrical Engineering, NTA Level 5 ( second year ). Taasisi: Dar es salaam Institute of Technology.
Nina maombi ya kujitolea kufanya kazi...
Habari zenu mimi mdogo wenu nina miaka 24 nimemaliza degree 2023 Bachelor of Commerce (specialized in Tourism management).
Kwa sasa nina uhitaji wa kazi yeyote inayohusiana na hata...
Sisi Watumishi wa Serikali ajira mpya ambao tulijiriwa mwezi wa Agosti, 2023 katika Sekta ya Afya, tunachangamoto ya kutolipwa pesa ya kujikimu tangu tulipo ajiriwa na kila tukifatilia tunapewa...
To enhance GNTZ’s procurement processes and achieve greater efficiency and transparency in our supply chain operations, GNTZ is implementing initiatives to establish supplier prequalification and...
Position: Internship
Location: Zanzibar
Contract Status: Assistant officer C
Contract Length: 2 Months with possibilities of extension.
Project Name: Strengthening the capacity of secondary...
About
Announcement Number: DaresSalaam-2024-012
Hiring Agency: Embassy Dar Es Salaam
Position Title: Public Health Specialist (Senior Implementation...
Position: Specialist Network and Security
Job reporting to: Senior Manager ICT
Location: CRDB Bank Burundi S.A.
No of positions: 1
Principal Responsibilities
Perform analysis of network...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.