*** Application cycle 2014 - 2015 currently open ***
Deadline for submission of online application and supporting documents June 1, 2013. Only successful candidates will be called for interviews...
WanaJF, apataye ujumbe huu amjulishe mwingine. Remember all jobs are temporal including the one you have!
--- On Tue, 9/4/13, vijanajobs <info@vijanajobs.com> wrote:
From: vijanajobs...
Requirements :
University graduate preferably in Banking/Business/Management.
Job Description:
Acting as the prime interface between the Bank and the client...
Mie ni mwalimu wa Diploma wa jinsia ya kiume. Nina uwezo wa kufundisha somo la Historia na Jiografia. Nahitaji kazi endapo kuna mahala mwalimu anahitajika wa masomo hayo. Namba yangu ya...
You are great for every singl idea you offer, it was in my dream that one day i have to stand by side of not only great but also critical thinkers so that i can be able to increase my thinking...
Guys, anybody who knows organization, institution or company dealing with clean energy mostly for cooking and small industries (kama kuchoma matofali and the like); pls somebody would like to...
Wakuu heshima kwenu
samahani sana, naulizia kama kuna mtu anaweza nisaidia KUZIPATA nafasi za kazi zilikuwepo kwenye gazeti la mwananchi la leo 8/04/2013 kwa bahati mbaya taarifa hizi nimezipata...
dear Members,
I am in the process of establishing a medium scale photography studio maeneo ya Makumbusho Dar es salaam. The studio will focus on "in-studio" and "out -of studio" photography work...
Habari wadau wa mtandao huu, me ni kijana wa mika 23, nimehitimu degree ya kwanza ya sociology, natafuta kazi inayorelate na proffession yangu, natanguliza shukran za dhati.
Mgodi wa dhahabu wa buzwagi wa mkoani shynga umetangaza kupunguza wafanyakazi zaidi ya 200, chanzo cha punguzo hilo ni pamoja na uzalishaji wa dhahabu kuwa na cost kubwa, ova
Eti wadau kwa mtumishi wa umma kupandishwa daraja kazini inakuaje? maana kuna dada mmoja analalamiaka sana anasema hajapandishwa daraja wakati muda wa kupandishwa daraja ulipita tangu mwaka jana...
Kwa kweli bila kujuana na mtu katika hii nchi kupata ajira ni ngumu hakuna mfano. Usione jamaa wanafanya kazi alafu unaambiwa nilituma maombi tu nikaitwa kwenye usaili wengi ni waongo ila...
GRADUATE TRAINEE PROGRAME 2013
Qualifications: Be a recent graduate,( 2011 or 2012) at degree level ,preferably in Business studies & Engineering
Apply: Human Resources Manager,Puma Energy...
Tunarekebisha modem za internet ili ziweze kutumia mtandao wowote (laini) wa simu za mkononi kwa bei nafuu sana.
Tsh 10000 tu, kama zitzkuwa zaidi ya moja bei inapungua. Karibu sana 0782 458197
Naomba msaada,mimi ni dereva naomba mtu anayeweza kuniunganisha na kampuni za utoaji na usafirishaji magari paka tunduma. Nina uzoefu wa kusafiri
DAR-MBEYA,DAR - IRINGA,DAR - MTWARA,DAR - TANGA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.