Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Position: Sales Executive Work Location (primary): Arusha, Tanzania Job Type: Contract Based Duties and Responsibilities: Market and sell company capabilities in terms of products and...
0 Reactions
2 Replies
321 Views
Position: Moshi Branch Cash Officer Section Head Key Responsibilities Manage counter services to ensure efficient service is delivered to customers. Maintain custodian cash in the branch and...
1 Reactions
2 Replies
298 Views
Hanns R. Neumann Stiftung Africa has a strong presence in Tanzania with projects currently being implemented in Arusha, Kilimanaro Ruvuma, Songwe and Mbeya Regions. For its...
0 Reactions
2 Replies
402 Views
Habari wakuu. Yaani kuna muda unaweza kysikia habari mbaya lakini kutokana hali yako ya maisha unatamani hiyo habari iwe heri kwako,Mimi binafsi nilipitia jkt kujitolea miaka mitatu 2019 hadi 2022...
7 Reactions
18 Replies
962 Views
Hebu nipeni mawazo yenu wakuu; hii trend ya upatikanaji wa ajira kwa upande wenu mnaionaje? Ukiangalia miaka kumi iliyopita, idadi ya fursa za ajira zilizokuwepo na idadi ya wataalamu huru...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Majukumu ni kutengeneza machine za EFD zilizoharibika Ku update machine Kutoa z short na monthly report Kutoa report ya daily na monthly Kun unblock na kublock machine za efd machine Ku cancel...
0 Reactions
1 Replies
543 Views
Ambaye anafahamu usahili wa uhamiaji wanazingatia kigezo Cha ufupi? Naomba majibu
0 Reactions
1 Replies
738 Views
Ndugu zangu naombeni ushauri hata mwezi sina kazin ila niliowakuta kazini tumetokea kutofautiana kimtazamo na maono sasa imekua kama vita kazini kila kazi wanataka mimi nifanye eti kisa mimi ni...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
KAZI YA KUWEKA GAMES KWENYE PC/PS3/PS2 ANAHITAJIKA MFANYAKAZI MWANZA AWE NAVIGEZO VIFUATAVYO : 1.Awe Anaishi maeneo ya mwanza mjini,mitaa ya dampo,pamba,lumumba,uhuru nk 2.Awe na ufahamu wa kuweka...
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Fundi Ujenzi (Mason Contractor), Naitwa Hussein Machui,Napatikana Moshi,Kilimanjaro najihusisha na maswala ya ujenzi kama Fundi. Nmekizi vigezo vyotee.. Naomba kazi 0673817130
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Kwa majina naitwa David William Lulambo mkazi wa Dodoma mhitimu wa degree ya Kwanza Chuo cha Mipango Dodoma katika fani ya Finance and Investment Planning. Natafuta kazi yoyote katika fani hii...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Wanaotafuta Kazi Kwenye Jukwaa Hili Kwa Bahati Mbaya kama ulisahau kubadilishana namba na mtu aliyepost Uzi humu na alikuambia atakurudia, Tafadhali jaribu kucheki Mara kwa mara PM zako au kuwa...
1 Reactions
1 Replies
351 Views
Position: Head of Internal Audit Responsibilities: • Ensure the strategic development of the Internal Audit Function • Manage the Internal Audit Function including developing a Risk based...
0 Reactions
1 Replies
289 Views
Position: Human Resources Officer Duty Station: Arusha Responsibilities Represent the company in various courts of law, tribunals and Quasi-judicial authorities; Provision of legal, company...
0 Reactions
1 Replies
301 Views
Salaam, Ninaishi Dasalam. Umri wangu ni miaka 26, kitaaluma mimi ni mhandisi wa mitambo (mechanical engineer) ila sijawahi fanya kazi kama engineer, nimesajiliwa na bodi ya wahandisi na nimepewa...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu, nina degree ya ualimu (kwa masomo ya MATHS & IT). Nimehangaika sana angalau kupata sehemu napoweza kupiga kibarua nipate chochote kitu ila wapi! Naomba kama kuna mtu anaweza...
2 Reactions
5 Replies
839 Views
Wakuu hii imekaaje. Mfano uko private sector una contract ya 1 year. Mshahara ni 500k. Badae upate kazi ya mshahara wa 700k, na contract ni mwaka mmoja. Je, ni halali kumkimbia mwajiri wako...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Naomba kujua kuwa endapo umeripoti KITUO Cha KAZI labda tarehe 17 ya mwezi huo na Barua ya posting inasema kuwa unatakiwa kureport within na Mtumishi huyo mpya aliwasili kweli ndani ya muda Kama...
0 Reactions
11 Replies
646 Views
Habari wakuu! Mimi ni kijana mwenye mapenzi na mziki. Nimebobea kiasi kuandika nyimbo za dini na kwa sasa nimefocus pia (bado najifunza) kwenye production (kutengeneza beats), japokuwa sina...
0 Reactions
1 Replies
328 Views
Wakuu salamu. Naomba yeyote mwenye uwezo wa kuniunganisha na NGO yoyote ile TANZANIA kwajili ya kupata kazi, please naomba anisaidie. Nina Bachelor degree in statistics and research...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom