wadau asylam allekum,tanzania women bank nimepata tetesi watu wameanza kuitwa tangu ijumaa kwa interview nafasi ya teller na credit,mwenye info tujulishane wadau.
Hi all,
Abudist Mediatech offer excellent Web Development & design, superior Mobile Application Services, high-class web Application Services, effective Internet Marketing Services and...
Hi brothers and sister.
Anatakiwa Clerk of Work. Site iko Sumbawanga Mjini.
Qualifications: Architect, Engineer or Quantity Surveyor
Experience : 2+ years.
Contact person: +255 784 367836...
habari wana jf tra wametoa nafasi nyingi sana za kazi,tembelea web yao;www.tra.go.tz then tafuta category ya ardvitisement then click 'vacany'.KAZI KWENU WANA JF....
Being rated as the Leading SMS Job Alerts service in Tanzania and East Africa
KAZImobi with more than 50,000 subscribers country wide ( Domestic & Professional), it can make your life easier...
It's believed, "Those who come last enter with advantage. They are born to the wealth of antiquity. The materials for judging are prepared, and the foundations of knowledge are laid to their...
Wandugu changamkieni ajira 30 pale TASAF. ona link chini na attachment pia...
Kila jema. Mtangulizeni MUNGU katika yote, maana yeye ndie muweza.
New Vacancies
Three vital questions employers ask.
1. What can you do, in terms of skill set, or what value can u add to my company.
2. What have you done, in terms of level of experience in your field or...
asasalam alaykum nimeitwa nahawa tume ya ajira kwenye post ya afisa biashara yenimaswali ya aina gani wanayouliza ilitujkandae vema.kama hujui kuwa mstaarabu usujibu pumba tupo serious.
Ni wajibu,jukumu na kazi yetu kuliombea taifa letu amani ya kudumu kwani,amani ndio chombo pekee
kinachoweza kusaidia maendeleo ya taifa letu.Amani tulionayo ni ya kihistoria,lakini tukithubutu...
Wana JF wenzangu,
Napenda niwashirikishe kuwa yule kilaza mkuu wa serikali kwenye tasnia ya sheria ambaye amekuwa hasimamii sheria kama ilivyo bali unazi wa chama cha magamba ndugu Frederick...
Nina degree ya Bsc.Biology from UDOM, natafuta mahali popote pa kuvolunteer especially kwenye issues za ecology, molecular bios, zoology or environments msaada wenu tafadhali great thinkers
Habari wana JF. Mimi nina Bendi ya muziki na napiga muziki (live Band) kwenye ma Hotel. Natafuta waimbaji wa kike wawili kwaajili ya kuongeza nguvu kwenye bendi. Bendi ipo Dar es salaam lakini...
Wanajamii,kwa wale walioitwa kazini kwa nafasi tajwa hapo juu..je wenzangu barua zenu mmezipata kwenye box zenu za posta?maana mimi hadi leo sijapata.tusaidiane kwa hilo
Habari zenu wanajukwaa?
Nina utaalamu wa kufanya kazi za utafiti na nimewahi kufanya maeneo yote mjini na vijijini, ni mzoefu katika kazi zangu nikiwa na ujuzi wa kutosha. Kwa yeyote anae hitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.