Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Asha kuum! Si matusi... Niwapongeze PSRS na wizara inayohusu mambo ya elimu kwa ugunduzi huu wa usaili kwa kada ya uwalimu kwa hakika tunaweza kupata walimu bora kama mnavyo jinadi kwenye...
0 Reactions
5 Replies
324 Views
kwema wakuu, kama mada inavojielza mwenye pdf naomba aweke hapa ili tujue tmepata ngap ingawa kwenye account nishakuta NOT SELECTED
4 Reactions
56 Replies
1K Views
Need a ride? We’ve got you covered! From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices. ✨ Why choose us? ✅ Flexible rental options ✅...
2 Reactions
17 Replies
263 Views
Huu uzi ufutwe. Nilikuwa na kijana Namuombea kazi. Alikiwa ni kijana wa Dodoma Elimu yake Undergraduate Development Economics. Masters Degree in Finance and Investment. AMEMALIZA MASOMO NA...
6 Reactions
79 Replies
4K Views
Mimi ni muuguzi na Mkunga ngazi ya diploma niko full registered na nina vyeti vyote original pamoja na experience Kama mdau wa JF kama kituoni kwako kuna nafasi naomba unisanue. Au una...
3 Reactions
6 Replies
157 Views
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA...
1 Reactions
0 Replies
123 Views
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs). Cha kusikitisha vijana...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza alie liona tangazo anakaribishwa alete mawazo
3 Reactions
13 Replies
695 Views
Habari ya muda huu wakuu. Samahani mimi nina vyeti kadhaa ikiwemo cha la7, form4, form6, JKT, Cha bachelor pamoja na full result transcript yake, kwa sasa sina pesa ya kutosha kuverfy vyote kwa...
5 Reactions
126 Replies
12K Views
Habari zenu Wakuu. Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua. Nawaomba sana, Nikipata kazi ya...
4 Reactions
16 Replies
862 Views
Wakuu nina mwaka sasa bila kuitwa Taesa na nakumbuka nilifaulu vizuri sana interview yao Kulikoni au haipo tena?
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Habari ya uzima. Mimi naitwa Erick Bernard napatikana DSM kwa sasa. Natafuta Kazi ya jikoni Kama kuuza supu ya kongoro, chipsi, kuku wa kukaanga, chakula na huduma zote za chakula. Nina uzoefu...
11 Reactions
54 Replies
2K Views
INVITATION FOR TENDERS PROVISION OF EXTERNAL FINANCIAL AUDIT SERVICESTENDER KSCL/RFP/EFA/01/2023-2026 Kibo Seed Company is a private Company registered in the United Republic of Tanzania based...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Position: Forest Assistant II (20-Posts) Duty Station: Lake Zone Required Qualifications Holder of Form IV/VI plus a Certificate in one of the following fields: Forestry, Mechanical Wood...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
  • Redirect
4 Reactions
Replies
Views
we need to know that. haitakiwi kutukana ukiwa kama mtu unae reply alicho andika mtu kwa kauri ngumu. wala wewe ulie andika hicho kitu hautakiwi kurudishia comment ya mtu kwa maneno makali. emu...
1 Reactions
9 Replies
228 Views
Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa...
7 Reactions
22 Replies
515 Views
Hauna kazi kwa sababu hauna taarifa za kuwepo kwa nafasi za kazi. Kupata taarifa njoo kwenye group la watsapp la ajira. Tunapost ajira mpya kila siku.nicheki inbox niku add kwenye group...
14 Reactions
52 Replies
1K Views
Mtu wa kubadilishana kituo cha kazi anahitajika, mimi nipo Dodoma Mpwapwa DC. Kituo ni kizuri, mazingira mazuri, maji yapo, usafiri upo 24hrs. Wa kubadilishana nae awe mikoa ifuatayo; 1. Iringa...
0 Reactions
62 Replies
10K Views
Wakuu habari . Mimi ni kijana wa kiume Umri miaka 24 Kwa sasa naishi Tanga (Lushoto) Nipo hapa kuomba nafasi ya Kazi au ajira katika maeneo yafuatayo. Elimu yangu ni shahada ya elimu...
2 Reactions
15 Replies
340 Views
Back
Top Bottom