Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Maswali yapi huulizwa kwenye interview ya research assistant....naomba mweny list ya majina walioitwa usaili ardhi university anipatie
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Mimi ni muhitimu wa degree ya IT na biashara niliyohitimu mwaka 2020 katika chuo kikuu mzumbe kampasi kuu morogoro, nina uzoefu na mambo ya IT. Ni mkazi wa dar es salaam. Ninaomba mwenye fursa...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Position: Operations Auditors II ( 2 Positions) Direct Reporting Line: Manager System and Operations Audit Location: Head Office Work Schedule: As per Tanzania Commercial Bank Staff regulations...
2 Reactions
5 Replies
534 Views
Habari za wakati huu. Natumai Wote wazima, mimi pia. Kwa wenye changamoto za kiafya nawatakia nafuu ya mapema. Bila shaka huu ni uzi wangu wa tatu, wenye maudhui haya ya kutafuta kazi. Lakini...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Habarii wanaJF, Ni takribanii miezi minne imepita tangia Tanzania airports authority (TAA) watoe tangazo la nafasi za kazi tarehe 1/09/2023 ajira za mkataba kwenye kada mbalimbali. Lakini...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
1. Career Objective: Avoid starting your CV with a generic career objective that focuses on what you seek rather than highlighting your value to the role. You can include an objective if you are...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Position: Senior Insurance Officer (Risk Management) (1 Post) Qualifications Must be holder of Bachelor Degree in one of the following fields; Insurance, Risk Management, Actuarial Science or...
1 Reactions
2 Replies
522 Views
Naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu kada za self microfinance fund mbona hawaitwi kazini kwa waliofanikiwa interview. Maana zilifanyika pamoja na za brela ambao wameitwa tayari kazini pia kuna watu...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafunzi nasomea course ya heavyduty equipment engineering,.diploma but nataka kubadili coz nikasomee Shipping and port operation management ,before cjachukua maamuzi haya Kuna tatizo...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Position: Driver Department: Transportation Reports To: Office Administrator Job Type: Contract Start Date: Immediately Job Summary: We are seeking responsible and skilled Drivers to...
1 Reactions
2 Replies
444 Views
Kama somo linavyosema naomba kujua ajira za walimu.
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines). Mwenye connection za kazi migodini...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF, Leo nimeamka nimekuta nipo shortlisted kwenda kwenye interview ya Chuo fulani, ndani ya week mbili zijazo ila sijawahi kufanya interview ya upande wa Economics. Naombeni...
2 Reactions
8 Replies
929 Views
Hello wapendwa, mwenyewe past papers au notes za lessen pharmaceutical assistant naomba msaada, pia kwa anaejua mitihani huwa inafanyika mwezi wa pili tareh zipi anijuze, pia huwa ni mitihani...
2 Reactions
4 Replies
454 Views
Habarini wana jamiii forums, nipo kuomba tena msaada. Nimekuwa shortlisted kwenye kada ya TUTORIAL ASSISTANT chuo cha Open University. nilitaka kutambua maswali gani huwa yanaulizwa kweny hii...
1 Reactions
91 Replies
13K Views
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana wakitanzania naishi Kanda ya ziwa,natafuta kazi maeneo ya mgodini,elimi yangu ni chuo kikuu. Nina uzoefu na kazi hii kwa miaka miwili. Naweza fanya kazi kama...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari wakuu Natafuta kazi yoyote halali, kuuza duka, kuosha magari, kubeba tofali etc. Pia nina leseni ya udereva class D. Umri miaka 22, elimu kidato cha 6 nipo dar es salaam. Natanguliza...
2 Reactions
18 Replies
930 Views
ndugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau. njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli...
38 Reactions
47 Replies
3K Views
Habari zenu Great thinkers,Wakuu Mimi ni dereva wa magari nimesikia sehemu Kuna Kampuni wanahitaji madereva wenye uzoefu.Nahitaji niende kufanya interview Je ukiacha test ya kuendesha Je maswali...
1 Reactions
20 Replies
30K Views
Back
Top Bottom