The Revolutionary Government of Zanzibar has signed an agreement with the Government of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland to work together in fighting corruption and serious...
Position: Assistant Nursing Officer II (4 Posts)
Qualifications and Experience:
Holder of Diploma in one of the following fields; Nursing, Midwifery or equivalent qualifications from recognized...
Position: Consultancy
Objectives
We are seeking a qualified consultant to conduct Preventing Sexual Exploitation and Abuse (PSEA) training for our [and our implementing partners] staff in...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo...
Nina umri wa miaka 30 naomba connection ya kazi Nina degree ya finance from udsm...bcom finance.
Naomba kazi yoyote NTAFANYA nimezunguka san ndugu ZANGU mtu yoyote ambae anaweza kunisaidia...
Anahitajika Dereva wa kuendesha Daladala mwenye class "C" Mwenye miaka kuanzia 50 na kuendelea na awe anaishi kati ya maeneo haya,Buza,Kitunda na Banana.
Location: Dar es Salaam
Phone: 0673102644
Habari wakuu,
Mimi ni Mtanzania halisi kwa kuzaliwa nipo Mbeya mjini natafuta kazi ya udereva ambapo uzoefu wangu ni wa magari ya mizigo ( Heavy Duty trucks na normal trucks ) nimeendesha gari...
Wakuu natafuta kazi ya Houseboy au kibarua chochote.
Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss).
Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden...
Nmemaliza chuo tangu 2020
Nina diploma ya Music production.
Ni kijana wa miaka 23
Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,Mimi ni Producer wa Muziki wa Dini, na Bongo fravour, natafuta kazi kwa mtu ambaye ana studio yenye vifaa vilivyokamilika, Nimeshafanya kazi na wasanii wakubwa...
Habari wakuu.
Lalamiko nilaloleta mahali hapa ni kwanini TRA iitishe interview, iruhusu watu wafanye alafu mtu unafaulu kwa marks zaidi ya tisini unaambiwa una irrelevant qualification za...
Habari wadau.
Binafsi ni mmiliki wa app ya kufundisha tution za masomo kwa njia ya mtandao
Ninatafuta walimu wenye uwezo mkubwa wa kuelewa na kufundisha masomo ya o level. Na shule ya msingi...
Wakuu
Mimi ni muhimu wa elimu ya juu tangu 2018 course ya education, kwaujumla mimi ni mwalimu wa masomo ya geography na Kiswahili ambaye sina kazi ya kuniweka mini na kujitegemea
Najitokeza...
Habarini.
Anahitajika kijana msafi na mpenda usafi anayejua upishi wa chapati zile za kibiashara zile laini nzuri ambazo zinaweza mfanya mwanaume kuongeza mapenzi kwa mkewe.
Kama upo na unajijua...
1. Hongera waliopata
2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.