Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Position: NOC Infrastructure Administrator Job Location: Head Office, HQ Main Responsibilities: Daily proactive monitoring, conducting first level troubleshooting, resolution and escalation of...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Wakuu habarini za muda, Nimerudi mbele yenu wakuu kama kichwa cha habari kisemavyo naombeni mnipatie kazi yoyote na mahali popote. Niko tayari kufanya Niko Mwanza NNA UJUZI WA COMPUTER ila hata...
5 Reactions
0 Replies
383 Views
Position: Specialist; Fraud Control & Data Analytics Location: Head Office, HQ Main Responsibilities: Utilizing advanced data analytics techniques to closely monitor and analyze data, identify...
0 Reactions
0 Replies
363 Views
Habari za leo wana jukwaa! Natafuta kazi ya unasihi au maarufu kama ushauri nasaha (Counseling services/Psychotherapy). Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Saikolojia (Bachelor's degree of...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Anahitajika mtu wa habari za mitandaoni hasa hasa YouTube. Kama una Ujuzi wa kazi hiyo tutafute kupitia 0767019326
1 Reactions
1 Replies
557 Views
Habarini, Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze. Asante
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu wa humu jf naombeni msaada kwa anayefahamu juu ya utengenezaji wa vyungu vya kisasa vya maua anipe ABC juu ya mchakato mzima kam vifaa .a mahitaj mengne na pia juu ya upatikanaji...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari. Je, kuwa mwanzo au wa mwisho kwenye oral interview kuna positive za kutusua? Nawasilisha
1 Reactions
6 Replies
465 Views
Waungwana naomba nifahamu mshahara wa msimamizi wa jumuiya miradai ya usambazaji wa maji vijijini RUWASA.
2 Reactions
323 Replies
53K Views
Hello Naomba msaada wa kazi au internship au kuvolunteer kwa yeyote mwenye kuguswa naomba anisaidie. Nina degree ya sociology nimegraduate 2021 nina expirience ya mwaka mmoja kwenye maswala ya...
2 Reactions
6 Replies
496 Views
eshi la Kujenga Taifa JKT limetangaza nafasi za kujiunga na mafunzo ya kujitolea kwa mwaka 2023 kwa Vijana wa Tanzania Bara na Visiwani kuanzia August 28,2023 na watakaofanikiwa wataripoti kwenye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama ambavyo yajieleza hapo juu. Nina taaluma ya degree ya kwanza upande wa Takwimu za Sayansi. Jinsia yangu ni ME. Yafuatayo ndiyo naweza fanya 1. Kuandika Research papers kwa watu wanaoeoma...
0 Reactions
3 Replies
689 Views
wakuu niende kwenye mada ivi tanzania employment agency(TAESA) ambayo ipo chini ya ofisi ya waziri mkuu ajira vijana na ulemavu inaweza kufanyisha interview na kuajiri wafanyakazi wa serikali...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu, Wenye ujuzi hapo juu naombeni kufahamu niende kozi ipi kati ya hizo mbele hasa yenye ajira na ujira kwa nchi yetu hii. Nitashukru kama nitapata ufafanuzi mzuri
1 Reactions
7 Replies
920 Views
Habari zenu, baada ya kujisajili TAESA wamenitumia ujumbe kwenda kwenye interview pamoja na training. Naomba kujua je, ni maswali gani yanayoulizwa kwenye interview na je, training yao ikoje, na...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu habarini za Asubuhi na poleni na majukumu ya kila siku! Lengo la kuandika hapa nikuwaombeni mnisaidie aptitude test Benki Kuu ya Tanzania (BOT) huwa inakuaje? Au maswali yake huwa vipi...
3 Reactions
138 Replies
24K Views
Samahani ndugu napenda hvi kazi ya hela ya kujikimu ni ipi hasa? Maana haitolewi kwa wakati
3 Reactions
5 Replies
2K Views
naitwa alfredy angelo natafuta kazi , nina ujuzi katika fani ya ujenzi. kama kujenga, kupiga plaster, kufitisha madirisha na flemu za milango asante. Napatikana dar es salaam +255676237106
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Mimi pamoja na Rafiki yangu tunatafuta nafasi kulingana na taaluma ama nje ya taalum ili maisha kidogo yawe nafuu. Binafsi, mimi hapa nina mwaka mmoja toka nimalize Chuo. Nimesomea Community...
6 Reactions
4 Replies
1K Views
Position: Procurement Manager Duty Station: Dar es Salaam Reporting Line: Executive Director Key Responsibilities and Duties: Main responsibilities will include but not limited to: Procurement...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Back
Top Bottom