Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari, Kuna tangazo lilitoka la MDA's na LGA's muda kama mwezi na kitu hv nami niliomba lakini mpaka leo sijaona tangazo la kuita kwenye usaili toka PSRS. Je Kuna mtu aliona tangazo la usaili juu...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kuna mtu anahitaji mtu wa kufanya kazi yoyote ya halali, nipo hapa napatikana mkoa wa Arusha. Kwa yeyote mwenye connection ata Dar es Salaam naweza kuja kama kuna mwenye kazi tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
707 Views
Kuna lolote chini ya pazia maana naona utumishi waliweka mkeka wa taasisi mbalimbali kama MNH,JKCI kuitwa kwenye usaili ila wameuchomoa tena. Mwenye fununu
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Nina shida na utumishi lakini niko dsm hivi Wana dirisha la kuwasilisha malalamiko kwa hapa dms na ofisi zao kwa hapa dar ni wapi au Hadi niende Dodoma msaada kwa anaejua anielekeze tafadhali
2 Reactions
4 Replies
522 Views
Habari wadau, Mimi ni miongoni mwa waliotupia kwenye nafasi zilizotangazwa za Caseworker n.k Naomba tupeane mbinu.
0 Reactions
2 Replies
818 Views
Habari wana JF Mwenye uelewa au experience ya interview zinazofanyika TEMDO tusaidiane viongozi
0 Reactions
1 Replies
865 Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na EA.7/96/01/H/05 01 Octoba, 2014 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira...
1 Reactions
18 Replies
25K Views
Requisition ID: 1056 Grade : SB2 – Local support Country: Tanzania, united republic of Duty Station : Dar-es-Salaam Category: Local Support Personnel Type of job Posting: Internal and External...
1 Reactions
2 Replies
534 Views
1.Anahitajika mwalimu anayeweza kufundisha o level Chemistry na Mathematics 2.Starting salary 400,000/= wakati wa probation ya miezi mitatu 3.Shule iko kibaha 4.Nitumie Cv yako inbox
2 Reactions
2 Replies
878 Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo...
3 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari wana JF, Niliomba kazi ya environmental officer, na sasa naona mikeka ya utumishi imeanza kutoka, naamini na sisi soon wanatutolea, mwenye possible zozote za wapi nipigie au hata ambaye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni pharmaceutical dispenser napatikana dar es salaam nimesajiliwa na pharmacy council na nina uzoefu wa kutosha Mawasiliano 0767 477748 0655 477748
1 Reactions
2 Replies
793 Views
Wakuu habarini za saivi, Nimejaribu sana kutumia email iliyo wekwa kwa ajili ya kuapply kazi ila kila nikituma inaniambia failed. Nawaombeni msaada wa jinsi ya kutuma email, mie naona naenda...
0 Reactions
13 Replies
908 Views
Hello members, I am university graduate from UDSM, studied (BAED) Linguistics and literature graduated with GPA of 3.8 natafuta any NGO nipate volunteering position ili niweze ku-advance my...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Nmeandikiwa kuwa sijawa SHORT LISTED kutokana na kutoweka passport size wakati ipo na ninahakiki kila Mara kabla ya kuapply na nmeitwa interview kadhaa lakin hii ni ya umuhimu zaidi kwangu lakini...
4 Reactions
12 Replies
912 Views
Location Tanzania, Kahama, Tanzania Sandvik is a high-tech and global engineering group offering products and services that enhance customer productivity, profitability and sustainability. We...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Position Title: Implementation Officers (3) Report To: Project Manager Duty Station: Dar es Salaam (1), Morogoro (1), Zanzibar (1) Broad Function Working under the supervision of the Program...
0 Reactions
0 Replies
316 Views
Position Title: Project Manager Report to: DCOP (Programs) Duty Station: Dar es Salaam, Tanzania Broad Function Working under the supervision of the Deputy Chief of Party (Programs) The position...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Chemonics seeks an Accountant for the 5-year, $13 million Tanzania Heshimu Bahari, Marine Biodiversity Activity. The Activity will be implemented in communities, civil society, the private sector...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
The purpose of a Finance Coordinator is to implement delegated area of responsibility. All NRC employees are expected to work in accordance with the organisation’s core values: dedication...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
Back
Top Bottom