Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Je wewe ni kijana wa kitanzania? Una umri wa kuanzia miaka 30? Je una elimu kuanzia kidato Cha sita na kuendelea? Je una uzoefu wa kufanya kazi ya Ufatiliaji wa Madeni katika vyama vya ushirika...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 na muhitimu wa SHAHADA YA ELIMU KATIKA SERA, MIPANGO NA UTAWALA. Pia, ni mwalimu wa masomo ya JIOGRAFIA NA KISWAHILI. Natafuta kazi...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Natangaza nafasi ya kazi ya kuuza kwenye Pharmacy, kwa mtu mwenye elimu ya Famasia, na ufahamu wa kutosha kuhusu dawa mbali mbali za binadamu. Sifa za mwombaji Awe na elimu ya Famasia ngazi ya...
0 Reactions
6 Replies
990 Views
Job Description Actuarial Associate – (2200003Q) Job Purpose and Key responsibilities Job purpose The role holder is responsible for assisting in the day to day running of the Actuarial unit by...
1 Reactions
0 Replies
445 Views
Proposal Summary: The USAID/Tanzania Monitoring, Evaluation, Learning and Adapting (T-MELA) project will provide these services to the USAID/Tanzania Mission and its implementing partners. The...
0 Reactions
0 Replies
468 Views
The USAID/Tanzania Monitoring, Evaluation, Learning and Adapting (T-MELA) project will provide these services to the USAID/Tanzania Mission and its implementing partners. The work will include...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Abdulrahman Al-Sumait University (SUMAIT) is built on the foundation of the former University College of Education Zanzibar established in 1998 by a charity organization; Kuwait based , Direct Aid...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Aga Khan Health Service, Tanzania (AKHST) – an agency of the Aga Khan Development Network (AKDN), a not-for-profit international organization that supports social development programs in Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Kuna muda na kaa chini najiuliza hivi Afrika sisi tulikosea wapi yaani nikiona jinsi gani boss wangu anavyo hangaika na kutafuta wafanya kazi. Afrika watu wanangaika na kutafuta kazi na sema...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Taarifa ya ajira anatakiwa mining engineer haraka sana eneo la kazi ni sumbawanga. Mwenye sifa tuwasiliane bila kuchelewa uingie kazini.
5 Reactions
12 Replies
2K Views
POST ACCOUNTS OFFICER II – 1 POST EMPLOYER The Agricultural Seed Agency (ASA) APPLICATION TIMELINE: 2022-08-16 2022-08-29 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To ensure that all invoices...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 na mkazi wa DODOMA, Pia nina fani ya udereva. Dhumuni yangu kuu ni kuomba au kutafuta kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato na kukidhi...
0 Reactions
0 Replies
412 Views
Out of topic. Natafuta dada wa kazi. Umri miaka 13-25 Awe mcha Mungu. Nyumba ipo Arusha,Mianzini. Nyumba ina Mama na mtoto wa miaka 5. Mshahara 40k/month (ila kuna maelewano) Kula kulala juu ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Je. unahitaji mwalimu wa mosomo tajwa? Nicheck DM Uniokoe
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Description On behalf of our client, we are looking for an Operations Manager. You will be responsible for looking after daily the daily operations of the lodge. Your duties include but not...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Who we are: D-tree International is a global digital health organization dedicated to ensuring that everyone has access to high-quality primary healthcare in underserved areas. We do this by...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
Job Details Full Time Minimum Qualification; Bachelor Years of Experience 2 years Position Overview: The Data Clerk will be responsible for providing high quality data entry, data management and...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
kuna dada yangu mmoja alikuwa anafanya kazi benki na pia alishafanya kwenye insurance companies, nilikuwa namuona namna anavyohangahika kutafuta wateja naakirudi home ni kulalamika tuu, saa...
13 Reactions
24 Replies
9K Views
Hi niliomba kazi ya office attendant kwenye ilo shirika, aisee hawa watu kazi ndogo kama iyo, lakini application yake sio ya nchi hii. Yaani unatumia like 2hrs kufanya application kupitia kwenye...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Mimi nikijana wa miaka 23 nimesoma community health pia nimesoma addo dispensing Nina uzoefu wa kazi kwenye kuuza duka la dawa pia napiga kazi kweli Kwa sasa naitaji kazi mazingira hayo hapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom