Habari zenu wakuu,
Nahitaji msaada wa binti wa kazi au mama mtu mzima mwenye kufahamu wanakopatkana naomba msaada, mshahara tutaelewana, familia ndogo watu watatu.
Aksanteni
Wakuu habarini za muda!
Mimi ni mwanafunzi wa VETA katika short course/kozi fupi ya mifumo ya bomba/plumbing. Nimepata changamoto ya kupata nafasi ya kufanya masomo kwa vitendo.
Naombeni msaada...
Waomba ajira huumia sana wakati majina ya waliopata ajira yanapotoka. Unakuta tangazo la ajira lilikuwa linataka wanaotakiwa kutuma maombi waliomaliza kuanzia 2012 had 2019 lakini utakuta baadhi...
Kigezo cha umri wa mwombaji na kigezo cha mwaka wa kuhitimu kwenye PDF aloitoa anaona kiko Sawa?
2015 kaachwa na 2021 kachukuliwa.
Mathematics kuwa arts subjects?
Wale watu wa TAMISEMI huwa...
Habar zenu ndugu!!
Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa...
Hivi ni kweli kuwa inapofika tarehe 01.07. ya kila mwaka ndio hua ni mwisho wa matumizi ya fedha ya bajeti ya mwaka uliopita?
Kwa mfano: Kama mtu ilikuwa uajiriwe kwa bajeti ya fedha ya 2021/2022...
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 16 Aprili, 2022 hadi tarehe 03 Mei...
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi
1. Software developer
2. Database administator
3.Network...
Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilipeleka CV yangu na taarifa zangu za kitaaluma TAESA kama Taasisi ya serikali inayoshughulika na ajira yani (Tanzania Employment Services Agency).
Nimepigiwa simu...
Kwema wakuu
Kuna hili tangazo nimekutana nalo huko linkedin, kampuni iko Tanzania inatafuta Senior accountant, lakini cha ajabu ni kama wanataka mhindi tena direct from India.My concern ni kwamba...
Position: Education Construction Officer
Kigoma
Norwegian Refugee Council (NRC)
The Norwegian Refugee Council is an independent humanitarian organisation helping people forced to flee...
Position: Records Management Assistant II
Government Job Opportunities Kibiti District Council 2022, Ajira Mpya Kibiti 2022, Nafasi Za Kazi Serikalini 2022
Kibiti District is a new district in...
Position: Journalism trainer/mentor
BBC Media Action
BBC Media Action is the BBC’s international charity .
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Reports to: Senior mentor/trainer
Duration: 12...
Position: Commercial mentor/trainer
Dar es Salaam
BBC Media Action
BBC Media Action is the BBC’s international charity .
Reports to: Senior mentor/trainer
Duration: 12 months (with possible...
Job Overview
Position:Senior Specialist; Database Adminstration
Dar es Salaam
NMB Bank PLC
Job Location :
Head Office, Hq
Job Purpose:
Installation, configuration and maintenance of multiple...
Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi.
Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili...
Imefika muda sasa nitinge ofisini zenu Tamisemi au Utumishi ili niwaeleze ukubwa wa Disability niliyo nayo maana kwenye mfumo hamjaitambua na kwenye CV pia hamjaitambua, kwenye utangulizi wa CV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.