ndugu zangu wanajamiiforums, poleni kwa majukumu mazito yanayotukabiri kila kukicha. maisha yamenipiga Mtanzania mwenzenu, hali yangu kiuchumi inazidi kuwa mbaya kila kukicha nipo kwenye ajira...
Nilikua napitia ajira za TAMISEMI za mwaka jana kwanini ajira zinakua na upendeleo sana? Unakuta pdf nzima imejaa wahitimu wa diploma au ni kwamba serikali inakwepa kuajiri wahitimu wenye degree...
Mimi kijana wenu nina shahada ya kwanza ya benki na fedha (Bachelor Degree of Banking and Finance) katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM).Natafuta kazi ya uhasibu, Data Entry, Afisa mikopo n.k...
Habarini, naomba kufahamu kwa anaerejeshwa kazini upya je anastahili sifa gani na je suala lake linaweza kushughulikiwa wastani muda gani? Swali hili liwaendee haswa wafanyakazi wa GSO Utumishi na...
Air Tanzania wametangaza nafasi moja ya kazi nafasi ya Sales Manager.
PDF iko chini hapo Deadline May 27.
Kazi kwenu
Wasomi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau katika hizi Ajira zilizoitangazwa na Serikali niliona Kuna Ajira za Sheria na Kilimo/Mifugo kama sikosei.
Ila mpaka Sasa hizo za sheria sijaona zinatangazwa.. sijajua hizo zingine za...
Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is a Semi-Autonomous Agency under the Ministry of Works established on July 1, 2000 and is responsible for the day-to-day management of the Tanzania...
Location:
Pemba Islands, Tanzania, United Republic of
Final date for application:
Regional Project Cordinator (m/f/) – Pemba Islands
Enabel is the Belgian development agency. It implements...
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order...
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order...
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Tanzania Automotive Technology Centre (TATC) synonymously known as “Shirika la Nyumbu” was formally established on the 14th December 198S through a Presidential Order...
Wakuu salaam kwenu nyote!
Tuwaachie wanaohusika kuchuja wanaostahili kwenye zoezi la sensa na makazi hapo Agosti 2022. Wao ndio wataamua wachukue idadi kiasi gani kwa wenye elimu ya sekondari...
Hello
Anahitajika binti mwenye cheti cha ADDO au certificate ya pharmacy
Eneo la kazi ni Wilaya ya Songwe
Shahara ni Tsh. 200,000/- kwa mwezi
Atapata makazi ya kuishi, akiwa mkazi wa Mbeya ni...
Nakumbuka kuna siku Waziri mkuu alisema wazi kwamba vijana ambao hawana ajira ndio wapewe kipaumbele katika kupata ajira za Sensa
Kwasasa ukipitia mitandaoni utaona kila mtu ni sawa na muamba...
Habari jamani
Naomba kufahamu juu ya kubadilisha cheo. Niliajiriwa kama Muuguzi mwaka jana mwezi wa saba wakati huo nilikuwa nimesoma Diploma ya Uuguzi vyeti vimetoka mwaka huu mwez wa pili...
Location(s)
Tanzania – Main – Dar Es Salaam
To be successful at Room to Read, you will also:
Have passion for our mission and a strong desire to impact a dynamic nonprofit organization
Be a...
Artists Initiative Program Coordinator
Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you passionate about fine art and are ready to enhance the art experience for...
General Manager – NMB Foundation
FOUNDATION
Who we are
NMB Foundation (NMBF) is a not-for-profit corporate social investment arm of NMB Bank Pic, which was established in 2021 to scale up its...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.