Habari wanajamvi!
Kwa wale wenyeji wa Dar es Salaam nipeni elimu juu ya biashara gani nitakayoifanya yenye kuhitaji mtaji wa kawaida tu na kuniingizia faida ya kuanzia 10,000 kwa siku!
Pia mahali...
Habari
Naomba kuuliza kuhusu GPA kuwa Ina effect yoyote kwenye kupata kazi za utumishi wa Umma.
Mfano Nina GPA ya 2.5 nimeapply Tax management officer II. ikatokea nimefaulu mitihani yao kwa GPA...
Habari wakuu anahitajika pharmacy technician. Location ni Mwanza.
Atafanya kazi Jeet Pharmacy, vigezo awe ana uzoefu usiopungua miaka miwili na pia awe na leseni hai.
Kwa walioko kanda ya ziwa...
Habari za leo viongozi!
Kuna dada ana umri wa miaka kati ya 20 - 25 anatafuta kazi yoyote halali hasa ya kuuza duka la nguo ama lolote / kazi za sheli.
Kwa hapa Dar es Salaam
Leo asubuhi katika kusikiliza vyombo vya habari nimesikia taarifa ya kibali cha ajira ikiwemo za utendaji kimetolewa.
Naomba kufahamu kwa wenye kufahamu hizi ajira hutolewa kwa mfumo upi na...
MUCOBA Bank PLC, formerly known as Mufindi Community Bank LTD (MuCoBa) is the oldest community bank in Tanzania that was incorporated in December 1998 and licensed by Bank of Tanzania (BOT) in May...
POST ASSISTANT OPERATIONS OFFICER – 10 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
LEGAL
MARKETING,MEDIA AND BRAND
PROCUREMENT & LOGISTIC MANAGEMENT
TRANSPORT AND LOGISTICS
EMPLOYER Tanzania Ports...
Hawa jamaa walitufanyia usaili wa oral kwa nafasi ya Data Officer hapa Dar na walituhaidi kwamba ukiwa successful basi utapokea simu toka kwao baada ya wiki mbili
Sasa yapata mwezi na kitu hakuna...
wanabodi salaam.
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kurekebisha taarifa kwenye form ya maombi ya kazi za sensa,,, mistake imefanyika kwenye email account hivyo pasword and username sijapata...
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads...
MUCOBA Bank PLC, formerly known as Mufindi Community Bank LTD (MuCoBa) is the oldest community bank in Tanzania that was incorporated in December 1998 and licensed by Bank of Tanzania (BOT) in May...
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads...
Hali zenu ndugu zangu!
Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.
Mimi ni graduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu...
Kauli ya mama Anna Makinda kamisaa wa sensa amesema Maombi ya Ukarani wa sensa Ni Bure na tumeishatoa mwongozo na watu wanaomba kuwa makarani wa Sensa kwa maendeleo ya Taifa letu Tanzania
The Tanzania National Roads Agency (TANROADS), is an Agency under the Ministry of Works and Transport which is responsible for the Development and Maintenance of the Trunk and Regional Roads...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.