Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Jinsia. Mwanaume Umri. 28 Makazi. Dar Temeke Elimu. kidato cha nne 0694185384 Tafadhalini nipo tayari kufanya kazi ya aina yoyote tafadhali. MKOA WOWOTE NIPO TAYARI KUFANYA KAZI IWE KAZI ZA...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari naomba kwa anaefahamu namna ya kupata kibarua bandarini au kiwanda cha Cocacola.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kijana ambae ana njaa ya kazi to the extent nikimpa kazi atakuwa na fresh ideas za namna ya kuongeza sales na hatimae faida. Nahitaji kijana...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Nimeshindwa kuendelea na masomo yangu ya mwaka wa pili katika ngazi ya digrii course ya Procurement and supply management. Changamoto ya ada inanifanya nipostepone mwaka, kuanzia...
3 Reactions
13 Replies
962 Views
Habarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nawasalimu wote. Wakuu naombeni ushauri wenu, nina kacertificate changu cha uasibu. Sasa wakuu nitaweza kweli kutumia haka kacertificate changu kupata hata sehemu ya kujitolea kwa muda, kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Elimu yangu ni Degree natafuta kazi yoyote halali. (Kama kusimamia biashara/ofisi, duka, supermarket etc)kwa mkoa wa Morogoro au sehemu nyingine.Yeyote mwenye connection ya kazi naomba...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Ebu kila mmoja leo ajaribu kushare namna alivyofanya mpaka kupata connection yake iliyompa ajira aliyonayo. Binafsi najitahidi sana kutafuta connection za ma hr wa kwenye mabank hasa nmb bank but...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Natafuta kijana aliye tayari kufanya kazi ya ufundi , Elimu kuanzia kidato cha nne, tutamfundisha namna ya kufanya kazi vizuri, awe mkazi wa Dar maeneo ya karibu na Kinondoni Studio, umri kuanzia...
2 Reactions
5 Replies
874 Views
Wakuu habari zenu, kijana mwenzenu hali sio shwari tena wakuu Jaazi linaelekea kuzama, nilikuwa naomba kwa yeyote yule mwenye mchongo wowote ule wa kuingiza kipato halali naomba aniunganishe. Na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Jamii forums, Natumaini kila mtu anaendelea vizuri , Nimekuwa shortlisted position ni Credit Officer II , Self Microfinance Fund. Naomba msaada wa mwongozo wa written itakuwaje kwa...
1 Reactions
59 Replies
13K Views
POST INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY OFFICER II – 25 POST POST CATEGORY(S) IT AND TELECOMS EMPLOYER Ministry of Lands, Housing and Human Settlements Development APPLICATION TIMELINE...
1 Reactions
1 Replies
661 Views
Monitoring and Evaluation Officer (Ref: KHSZ/MEO/03-22) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Kizazi Hodari – Sothern Zone project in Tanzania. This is a five...
1 Reactions
1 Replies
768 Views
Office Attendant (Ref: KHSZ/OA/03-22) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Kizazi Hodari – Sothern Zone project in Tanzania. This is a five years’ project...
1 Reactions
1 Replies
543 Views
Accountant (Ref: KHSZ/AA/03-22) Background Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement a Kizazi Hodari – Sothern Zone project in Tanzania. This is a five years’ project (March...
1 Reactions
1 Replies
512 Views
Habari za asubuhi ndugu! Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
POST DESCRIPTION I. POSITION INFORMATION SVN IOM/DAR/009/2022 Position title CVAC Client Service Assistant (Canada Visa Application Centre) Position grade G4 Duty station Dar es Salaam...
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Moja kati ya swali ninalolichukia toka kwa mwajiri ni "What is your salary expectation ?" Huwa najiuliza kwanini mwajiri aniulize hivi wakati tayari ana scale yake kashaiandaa kwa position husika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kufuatia mapato ya serikali kupotea kwa uzembe Rais Samia amemuagiza Waziri wa fedha na yule wa Tamisemi kuangalia utaratibu mzuri wa kukagua mashine za EFD na risiti kwa wafanyabiashara na...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari, Mara nyingi kwenye interview kuna common questions ambayo yanajirudia rudia, likiwemo ili swali "tells us about your salary expectations". Kuna njia nyingi ya kujibu ili swali lakini...
6 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom