Habari wakuu. Nawasalimu nyote, kila mmoja kwa mujibu wa vigezo vya umri, jinsia na wadhifa wake.
Kijana wenu niko mbele yenu leo kuomba nafasi ya kazi ya uandishi wa makala au habari katika...
ABOUT GEITA GOLD MINING LTD
Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an...
EUROPEAN UNION DELEGATION TO THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND TO THE EAST AFRICAN COMMUNITY
The Delegation of the European Union to the United Republic of Tanzania and the East African...
BACKGROUND
UNDP is the UN’s global development network whose focus is to help countries build and share solutions to the challenges of sustainable development as informed by the 2030 sustainable...
Habari waheshimiwa, nimeona kwenye gazeti la jana la mwananchi kuwa Rais ametoa ajira nyingine 2100 zaTRA. Nimeambatanisha vielelezo ikiwa ni pamoja na screenshot kutoka kwenye page ya millardayo...
HABARI ZA SAIZI
natafuta ajira ya ualimu wa shule za primary nina uzoefu wa kufundisha masomo yote ya primary na pia ni mtaalamu wa somo la computer(ict)
kwa mawasiliano zaidi 0653174431
Background
UNDP is committed to achieving workforce diversity in terms of gender, nationality and culture. Individuals from minority groups, indigenous groups and persons with disabilities are...
wakuu habari za muda huu naleta uzii huu kwa vijana ningependa kujua umri sahihi wa kua na maisha bora maana maisha ya sasa yamekua tough kweli kweli na matobo ni hayaonekan ili kutoboa kijana...
Wadau mm napatikana Dar mwenye connection na machimbo ya uhitaji wa mtumba ususani viatu. Mimi ni mtalamu niliyobebea kwenye mtumba napatikana Dar aliko tyari kufanya bishara na mm kwa uaminifu au...
Kuna mdogo wangu alifanya application ya kazi aliona tangazo la kazi ktk website tajwa hapo juu, sasa jana dogo katumiwa Sms anaambiwa atume 25k
Akanishirikisha ilo swala basi nikaona ngoja...
Habari wakuu,
Mimi ni kijana wa Kitanzania nina cheti ninatafuta kazi yoyote ili niweze kuendesha maisha yangu maana hali so shwari kabisa.
By Daudi Haule
Habaro wanajamiiForums.
Nina bachelor ya sociology natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar ili niweze kulea watoto
Tafadhali Kama una connection, nipo Mbeya nisaidie
Habari mwana JF,
Kama unaitaji nurse wakukuzia duka la dawa au pharmacy basi yupo na vyeti vyote vya nurseng na cheti Cha ADDO anacho popote ulipo atakuja Ni mzoefu miaka zaidi ya 10 naomba...
Habari WanaJF,
Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree
Natafuta kazi ya kuuza...
Habari naitwa LETICIA CHARLES nafuta kazi,
Supermarket, Customer Service or Sheli, ni muaminfu na mwelevu, umri miaka 24
Kama kuna mtu anaweza kunisadia au kama kuna mtu anahitaji mtu uwezo...
Office Support - Receptionist
08/03/2022 - 10:08
Local agents
The Delegation of the European Union to the United Republic of Tanzania and the East African Community (EAC) is looking for an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.