Vijana wenzangu kuna Kitu nimekiona kwenye hii sekta ya Afya upande wa Ajira.
Nimekuwa nikifuatilia siku kadhaa na ssa nimejiridhisha, hizi Hospitals za umma tena kubwa kabisa zenye majina kama...
Ama kweli,leo nimekubali ile kauli mbiu inayosema WEWE UNAMJUA NANI? NA SIO WEWE UNA QUALIFICATION GAN?
Pamoja na bachelor yangu nimeangukia pua kwenye kazi ya muda ya sensa.ILA HAKUNA MBAYA...
Wandugu naomba kuuliza, Pale katika account ya ajiraportal unapotuma maomba sehemu pekee iliyopo ni kuambatanisha barua ya maombi pekee.Je, sehemu ya kuambatanisha picha iko wapi?
African Underground Mining Services (AUMS) is an international leader in mechanised hard rock underground mining. AUMS is part of Perenti (Formerly the Ausdrill Group), an ASX 200 company and...
Job Description
Job Title
ICT Officer
Department
Support Services and Finance
Reports to
Manager – Support Services and Finance
Location
Dar es Salaam
Supervises:
Mostly...
Habari wanaJF....
Poleni na mihangahiko ya hapa na pale ya ujenzi wa taifa.. Tuendelee kulipambania taifa letu itoshe tu kusema kazi iendelee.
Nije kwenye hoja yangu.. Naamini humu kuna mafundi...
Reference Number CCB220304-3
Job Title Quality Assurance Technologist
Job Category Manufacturing
Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania)
Job Type Permanent
Location – Country Tanzania
Location –...
Fursa fursa fursa za kazi.
Alhamdulillah hapa Abraar Complex Kuna fursa kadhaa za kazi zimejitokeza.
Tunahitaji:
1) Mafundi ujenzi (waashi) wazoefu.
2) wasimamizi wa ujenzi (site foreman).
3)...
FURSA FURSA FURSA
Tunawatangazia mafundi wote wa ujenzi na wasaidizi wa kazi za Ujenzi kuwa kuna fursa ya kazi na mafunzo ya ujenzi. Pia kwa yeyote yule ambaye yuko tayari kujifunza ujenzi ata...
Habari zenu wana JF,
Kuna huu mfumo binafsi siuelewi na sielew alieanzisha alikua na maana ipi.
Taasisi kubwa kama utumishi na baadhi ya taasisi za umma na binafsi, pindi wanapotoa tangazo la...
wadau za mda huu
Naomba tupeane updates kidogo kwa wale walioenda kufanya interview ya oral dodoma baada ya kupita written ya TRC
Oral ilifanyika tarehe 9 february na leo ni february 28 mwezi
Mimi ni mwalimu nimehitimu shahada ya kwanza chuo kikuu cha Jordan(Morogoro) katika masomo ya Geograghy na history. natafuta kazi ya kufundisha shule ya secondary (private) na msingi (english...
POSITION TITLE: Monitoring and Evaluation (M&E) Director
LOCATION: Dar es Salam, Tanzania
Under the supervision of the Chief of Party, the M&E Director will provide leadership and management...
Position: Administration Officer
About the job
Description Du Poste
HSEQ: Respect of the Golden rules and all the HSE rules and standards of TotalEnergies by all the staff, contractors...
Rais wangu Samia, naomba ajira, uniteue niwe Mkurugenzi mkuu wa TISS, hii kazi naipenda kuliko kazi zote Duniani.
Naipenda hii kazi kwa sababu naipenda sana nchi yangu Tanzania.
Sina chama...
Kuna ajira zimetagazwa za muda mfupi hapa Manispaa ya Temeke lakini ni rushwa kwa kwenda mbele mpaka upate.
Watendaji wa kata wana majina yao na wanatamba sana kuwa wanao-appply wanapoteza muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.