Habari wakuu, mimi ni kijana miaka 24 nipo arusha natafuta kazi yeyote halali yakufanya.
Ujuzi wangu nimesomea mambo ya kilimo na mifugo(General agriculture).
Mawasiliano...
Habari wakuu,
Mm ni kijana wa halali wa kitanzania, nipo dar natafuta kazi ya yoyote ya ERRAND kwa wale wasiokuwa na muda wa kufika sehemu husika na kuchukua mazaga, iwe bidhaa au...
Jamani mbaka mudaa huu tushaona hili zoezi likiwa limeshaanza sehemu mbalimbali nchini Tanzania, kama vile Dar es salaam, Dodoma, Mbeya, Kigoma, Morogoro, Shinyanga n.k.
Huku halmashauri za mikoa...
Kuna hii document nimekutana nayo mitandaoni inahusu waliochaguliwa kufanya usaili wa anuani za makazi halmashauri ya Ubungo kama kuna alieona jina lake hongera!!
Habari zenu,
Mimi Kuna wakati nawaza kupiga kazi Sana ,lkn sijui kwanini hali ya uvivu inanijia ninashindwa kuendelea, naombeni ushauri jinsi ya kupingana nayo, nimejiajili tu.
Vp nyie hali...
Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss. Iwe ya biashara account ninayo ya Uber pamoja na Bolt
Leseni ninayo iko active
Tutaandikiashiana kwa mjumbe ili uaminifu uwepo
Barua ya...
kwa ukuaji wa mtandao duniani, makampuni mengi hutumia nyanja mbalimbali ili kutangaza na kupata maoni ya wateja kuhusu bidhaa au huduma wanayoitoa.
kuna makampuni yanaendesha zoezi la...
Habari wapendwa
Naulizia kwa manispaa ya KINONDONI ambaye anajua tarehe ya majina ya waliochaguliwa kufanya zoezi la UKUSANYAJI WA ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKADI ni lini??
Naulizia hivyo maana kwa...
NBC is the oldest serving bank in Tanzania with over five decades of experience. We offer a range of retail, business, corporate and investment banking, wealth management products and services...
The position is responsible for debugging, root cause analysis, analyzing an inherent functionality and solving issues by considering overall impacts, and handling various users of the subscriber...
Hongereni kwa harakati zenu mnazozifanya katika kutafuta kazi, msikate tamaa endeleeni kusambaza CV kadri muwezavyo, msidharau interview mnazopata hakuna siku yenye kiza masaa 24 ipo saa mwanga...
Ndugu Wana Jamii Forum, poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu Cha Dar es salaam (UDSM) tawi la DUCE, nimehitimu mwaka 2018, ngazi ya degree.
Nimekuja kwenu mnipe...
Mama acha tu aitwe mama, anaupiga mwingi sana.
Kwa watumishi wa serikali, mzigo umesoma LIVE fasta muda huu wa saa 9 alasiri leo 22/2/2022.
Tukutane 2025.[emoji110]
Ndugu zangu, jana nilifanikiwa kufika halmashauri pale ya jiji la Dodoma kupeleka Barua yangu ya maombi ya ukusanyaji wa postcode, watu walikua wengi sana wenye bahasha za kaki. Vijana walikuwa...
Naitwa Salma Hussein Chuku
Nina miaka27 Elimu yangu mpaka form four nimesomea Hotel Management ila si kubahatik kupat ajira popote uzoefu wng ni biashara
Msaada wenu waungwana nipate kazi
0684...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.