Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Reference Number CCB210611-6 Job Title: Distribution Driver Function Logistics, Warehouse & Distribution Company Coca-Cola Kwanza (Tanzania) Job Type Permanent Location – Country Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
POSITION DESCRIPTION: Reporting to: General Manager North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit Supply and Commercial Manager to join our team. The successful candidate for this...
1 Reactions
0 Replies
624 Views
THE UNITED REPUBLIC OFTANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.EA.7/96/01/L/141 10thJune, 2021 VACANCY ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Fisheries Research...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Habari waungwana. Naitwa James patrick naishi Dar es salaam, nina miaka 26, natafuta kazi ya udereva Nina uzoefu wa kuendesha ndani na nje ya jiji la Dar, pia nina uzoefu wa kuendesha gari za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We are looking for the following candidates. 1. ASSISTANT HUMAN RESOURCE OFFICER (female) A female HR Assistant with the Experience of mininum 2 years or above especially in Corporate and...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wassalam, Naomba mchanganuo wa gharama ya kuprint t shirt (form six)kwa ajili ya taasisi ya watu takriban sabini. Ahsante
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari! Naitwa lissa, Natafuta kazi ya usimamizi wa fedha, nimesomea BBA in finance(Bachelor of business administration in finance). Note; Nina tatizo la usikivu. Thanks!
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar. Awe mwenye muonekano maridadi. Awe mzoefu na kazi. Awe mchapa kazi. Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Salaam, Natafuta kazi yoyote katika fani ya Mathematics, research and statistics. Napatikana muda wote kwa namba hizi: 0712778881 Nina experience ya kutosha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni binti ambaye nilikua nimeajiriwa kama mhasibu kwa takribani miaka mitano. Nimejifunza mengi katika nafasi hiyo ya uhasibu kwa sababu kampuni niliyokua naifanyia kazi...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata...
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nina ndugu yangu anatafuta kazi ya udereva wa magari makubwa ana Leseni pia anauzoefu wa kutosha kwenye hiyo kazi kwa zaidi ya miaka kumi (10) alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29,nna mke na mtoto mmoja, elimu yangu ni kidato cha nne naishi Dar. Nimejitokeza hapa kuomba kazi utakayo ona naweza kufanya kwako...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji mtu nitakae saidiana nae kufanya biashara ya kuuza mazao na hasa zaidi ya mbogamboga na nafaka. Tafadhali ni Pm tu kama unajua unao uwezo wa kuuza hizi products. Kama ni mkazi wa Morogoro...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
JOB VACANCIES Click on each below to read more and apply: 1. Secretary/ Archivist- (1 POST) 2. Project Assistant- (1 POST) 3. Project Officer- Social Policies- (1 POST) 4. Project Officer- Private...
1 Reactions
2 Replies
925 Views
Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE: TANGAZO LA KAZI UTUMISHI LITA PDF APPLICATION INSTRUCTIONS CLICK HERE TO APPLY
1 Reactions
0 Replies
885 Views
JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE: TANGAZO LA KAZI UTUMISHI LITA PDF APPLICATION INSTRUCTIONS CLICK HERE TO APPLY
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Wakuu kuna tangazo nmelipata limetolewa na jeshi la zimamoto kupitia kamishna mkuu kuhusu mafunzo, je ni tangazo la kweli tuchangamkie fursa au ni matapeli? [emoji116][emoji116][emoji116]
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom