Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana jamii... Naomben msaada wa namna ya ku unlock bootloader ya samsung device kwan nilijaribu kuinstall rom nyingine simu ikanipa ujumbe wa could not boot normally ikastack hapo hapo had utoe...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
wadau ninataka kudesign website yangu, sasa naomba kuuliza ni kampuni gani ni nzuri sana kwa utengenezaji wa websites hapa nchini. nitashukuru kwa majibu yenu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini za jioni wana jukwaa, Nimemaliza kidato cha NNE nikiwa competent katika HTML na CSS na tayari nimefanikiwa kuanzisha project zangu 2 za website. Nimeanza kujifunza java Siku chache...
1 Reactions
4 Replies
916 Views
Wataalamu wa IT mtusaidie Mathalani nataka kusafiri kutoka Dodoma Kwenda Dar es Salaam... hebu undeni kampuni ya kukatia tiketi... kuwe na App ambayo naingia naweka details za ninakotoka na...
4 Reactions
7 Replies
9K Views
Msaada jinsi ya kubadilisha fonts za application ya ifont. Wana JF naombeni msaada jinsi gani niweze kubadili muundo wa maandishi uliopo kwenye application ya ifont kurudisha kwenye fonts za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni msaada jaman nifanyeje kuondoa tatzo hili, natumia window 7 professional,
0 Reactions
7 Replies
990 Views
Nani anajua college nzuri INA courses za programming , please recommend
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wana JF, Naomba mnisaidie mbinu za kufanya ili niweze kuipata simu yangu aina ya SAMSUNG NOTE 5 niliyoibiwa leo usiku. Msaada tafadhari.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ingawa hii story inahusu how Yahoo fall naamii ina mengi mno ya kutufundisha kwenye nyanja mbalimbali za maisha.....mbali na technology tu na business... The rise and fall (OK — mostly fall) of...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu huwa nafanya voice overs, then someone hunisaidia kufanya editing. Kwa sasa nilikuwa nataka mwenyewe ili sauti ambayo inasikika, clear na ni high quality. Nimefanya noise reduction...
0 Reactions
5 Replies
827 Views
msaada kwa mwenye uwezo wa kufix net framework ya 3.5 katika windows 8 mana kuna baadhi ya software nashindwa kuinstall kwa sabab ya net framework ya 3.5 haiwekwa kutumika katika windows 8
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimedownload na kuinstall hii app kwenye computer ila sikumbuki password zake tena. Naombeni kama kuna mtu anajua anipe msaada huo wa kutoa hayo mafile kwenye folder locker. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
3 Replies
910 Views
Wadau nilipolwa smartphone yangu na vibaka siku kadhaa zimepita na mpaka hapa nimekwenda kulipoti police but sijapata muhafaka jinsi ya kuweza kuipata, msaada toka kwenu ni njia gani muhafaka...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Naomba msaada jinsi ya kuipata simu yangu ambayo nimeibiwa usiku, ni Samsung tablet
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za leo wakuu, ninataka kudownload file la windows 8 kupitia torrent, lina ukubwa wa 3.77 GB. alafu niliweke kwenye flash, kisha ni install, naomba mnijuze nina hitaji kufanya nn ili...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimepiga window mpya jana katika PC yangu, lakini nashangaa toka nipige hyo window naletewa huu ujumbe baada ya kuingia internet nashindwa kuelewa nini tatizo, nimejaribu kutmia browser tofauti...
0 Reactions
6 Replies
720 Views
Watu wengi kwa Sasa wanapendelea ku root smartphone zao nikiwa kama mmojawapo aliyefanikisha ku root nipo tayari kuwasaidia watakaohitaji
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wana Jamvi, Naomba kujuzwa kama kuna application yoyote inayoweza kutrack SMS and whatsup
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa maelekezo yenu juu ya aina gani nzuri ya Printer kwa ajili ya kusafishia picha za digital studio na bei zake. PRINTER YA KISASA KABISA ITAKAYONIWEZESHA KUFANYA BIASHARA KWANI...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Habari matechnician naomba kuelekezwa jinsi ya kurudisha imei ya simu ya itel pamoja na software zitakazo tumika
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom