Habari zenu wana jukwaa,
Mimi ni mtumiaji mpya wa JF. Kuna swala ambalo linanishinda nalo ni kufanya mtajo (mention) ya mtu ambaye ametoa maoni juu ya mada inayojadiliwa...Nikitaka kumjibu na pia...
Salaaam Wakuu
Nimekuja kwenu nina ttz katika website ya CRDB, nilijisajili na huduma ya Internet Banking nikatumiwa code VBV secure code lakin kila mara nikijaribu kingiza naambiwa system is not...
Kajiado Central parliamentary aspirant Memusi ole Kanchori with his supporters on January 25, 2015 near the Kajiado KCB grounds. The Kajiado Central by-election, KCSE examination results and the...
Heshima kwenu wakuu, Naomba kwa anaefahamu kiundani zaidi anieleweshe tofauti zilizopo kati ya aina za Tvs zilizotajwa hapo juu katika nyanja za
1. Ubora
2. Uimara wake
3. Bei
4. N.K
wanajamii natanguliza salaam zangu
Nilikuwa na shida mmoja. One of my boss wants an application on playstore and it costs around 9 dollars. He doesnt want cracked version he wants to buy it. So...
Heshima Zenu Wakuu.Mimi Nina DVD nyingi za movies mbalimbali nataka kuziforma lakini cha kusikitisha na cha ajabu sana kila nikijaribu kuformat naambiwa yo cant format this disk becouse it is...
Hallo jf members
poleni na majukum
mimi binafsi ni developer mdogo ambaye napenda sana kujifunza...
mara nyingi ugumu unakuja pale unapokuwa peke yako na gugo tuu
nilishatengeneza native apps...
Nimefungua hili jukwaa kwa kua nahitaji kuzitambua startups za bongo zinazojihusisha na technology, wapo kweli waliojiungaunga kusema waanzishe startup flani Na kuikuza polepole?
Nimeona hawa...
Wakuu amani iwe nanyi, wakuu naombeni msaada wenu ninapo ingia whatsapp napata ujumbe huu "YUOR PHONE NUMBER 255******* IS NO LONGER ALLOWED TO USE OUR SERVICE. ule mwaka mmoja wa kutumia bure...
Habari zenu wana jf.
Ninaomba msaada wapi naweza kupata fundi mzuri wa kurekebisha laptop yangu.
Hii laptop nimeletewa kutoka nje ni lenovo B570e nimeitumia kama week mbili hivi ila hivi sasa...
wana jf hongereni kwa majukumu.
Nina tecno p5 inawiki nzima ukiwa unapiga simu
Au unazungumza ghafla inakata mawasiliano na kuandika RADIO OFF. na network bars zote zinakuwa off kisha inaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.