Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada nataka ku-install whatsapp application kwenye IPAD Air nafanyaje? Maana nimeshindwa kuipata kwenye kwenye app store...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau. Laptop tajwa hapo juu ina password kwenye BIOS ambayo hp huiongezea. Nahitaji kui bypass nimekwama. Nilikuwa naijua trick ya kutoa battery na ku disconnect CMOS battery kwa...
0 Reactions
3 Replies
873 Views
Wadau naulzia touch screen ya hii tablet naweza pata kwa kiasi gani kwa wanaojua.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu wapi naweza pata refill kit kwa ajili ya kujaza wino wa printer aina Hp deskjet 2050 all in one kwa kazi za home.. Na zinauzwa bei gani? Shukrani
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Cm yangu ni samsung GT 5303. Kila nikitaka kui install e.g UC Browser nijibiwa An errow occur when retrieve from sever ...........* nimekosea au nifanyeje! Msaada Tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu wiki iliopita wajanja walikata wavu wakakwapua kimeo cha shemeji yenu iphone 4, na kwa msaada wa apps za cydia nikafanikiwa kuipata iphone tena Kwanza hatukukimbilia kuiweka kwenye lost...
9 Reactions
22 Replies
6K Views
Jamani hii simu yangu yenye ujanja ujanja (smartphone), baada ya kuitumia muda mrefu inafika wakati ambapo nikibonyeza app flani inafungua app ingine! Au kama nina browse mtandao basi kuopen...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ninatumia cm ya tecno p5. kila nikijiunga inaleta maneno haya "THE IP ADDRESS YOU ARE USING HAS BEEN FLAGGED AS OPEN PROXY". Natumia opera min. nisaidien tatizo silijui.
0 Reactions
7 Replies
21K Views
Wandugu kwema? Naomba msaada wa ku-disable hiyo cyberoam naona ipo kwenye server. Nataka ni download torrents ila siwezi, wenye ujuzi nisaidieni?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kanuni ya utambuzi kwa Simu hizi kubaini kama ni original, msaada tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nokia is one of the largest selling phones across the globe.Most of us own a Nokia phone but are unaware of it’s originality.Are you keen to know whether your Nokia mobile phone is original or...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wote mnaotaka ku-update Android 5.0, a.k.a Lollipo, Nawatahadharisha Mpitie comments za simu zenu ambazo watu wamefanya hizo Update. Hii Update kwa simu nyingi imebainika inakula betri...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Investigators uncover what is thought to be the biggest ever cybercrime with more than £650 million going missing from banks around the world British banks are thought to have lost tens of...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna kijana mkali wa sayansi ya elimu viumbe (Cardiology sijui)wa miaka ya 1990 mkenya Bethwell Mbugua sijui siku hizi anasomekea wapi. Maana nakumbuka aliwahi kuviketisha vichwa pale UDSM na...
0 Reactions
5 Replies
16K Views
Galaxy s2 gt i9100 haimalizi kureboot inaishia kwenye lebo samsung bila kumaliza. So tatizo litakua nn na nitalitatua vipi. Please nipe mawazo.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wapendwa, ninamiliki tablet 2 Samasung huu mwaka wa pili. Kuna tatizo linanisumbua, kila mara inaonyesha kujaza data, wakati nimefuta karibu kila kitu kwenye gallery. Je, itakuwa imejaza nini, au...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Jamani naombeni msaada Wa kuona post zangu ninazopost,baada ya muda Fulani hata hii nayo sitaweza kuiona tena
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Range rover Ni gari ya kiingereza ikiwa imetengenezwa mwanzo mwa miaka ya 1965 -1970 ikiwa na mfumo wa SUV ( sport utility Vehicle) na kiwanda cha LAND ROVER Wametengeneza aina nyingi sana...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Wadau hii kitu inanisumbua sana kwa muda sasa. Mwenye kujua tafadhali maana nafuata taratibu zote lakini bado inanigomea.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Google is opposing a plan to increase the US government's power to infiltrate computer systems around the world, warning that it will raise a number of "monumental and highly complex"...
0 Reactions
3 Replies
931 Views
Back
Top Bottom