Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba msaada kujua, mimi nina printer desk jet d2400 nilikuwa nikiitumia zamani toka 2010 sijawahi kuitumia sasa jana niliamua kuitumia lakini cha ajabu haiprint sijui tatizo litakuwa ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ku-unlock simu yako ya Samsung, ili iweze tumia laini za simu mbalimbali ni kazi kubwa sana kwa mtu ambaye ni mgeni kwenye masuala ya Technology. Leo hii nakupa nafasi ya kuwa na uwezo huo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Katika kufanya connection kati ya vb6 na sql server2008 r2 kila kitu kimeenda sawa (zimeonana). Tatizo ni tables zinashindwa kuonekana na kinachoonekana ni database name tu. Hivyo nikiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila Virus anafanya uaribufu wa aina yake katika computer, Toa mstari mmoja wa code ambayo unafahamu au unahisi hawa wadudu wanatumia. Mimi nahisi: Kill "C:\Boot.ini" (in Visual Basic Language)
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hiv hii dc unlocker ina uwezo wa kutoa network lock za simu kam huawei vile. au ni kwaajil ya ku unlock modem tu?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nokia n73 ina download app ya whatsApp lakini inagoma ku intall. Wataalam msaada pls.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu salama, Naomba kusaidiwaa tatizo la External Hard Disk kama ifuatavyo; nina hard disk ya ukubwa wa 2TB sijafanikiwa kuitumia kwa matumizi makubwaya ukubwa wake kwa sababu inaonekana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Website nyingi zinazokuruhusu uweze ku-download DLL file kwa urahisi zimeonekana kuwa ndio jibu la matatizo ya watu wengi, lakini ni hatari. Inashauriwa kulipata file hilo kwenye website...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji insight kutengeneza online payment system itayotumia kadi za benki kwa malipo na pia wateja waweze kulipa kutumia mobile money kama Mpesa tigo pesa etc.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu waungwana, mie ni kijana ambae kiukweli tangu nianze kutumia simu sijawahi kumiliki android phone hata siku moja. Na katika kutimiza azma yangu ya kutaka kumilik simu ya namna iyo...
0 Reactions
90 Replies
18K Views
Nimejaribu ku-connect Canon EOS 5D Mark II kwenye PC kwa kutumia USB cable lakini kila niki-copy firmware file inakataa, inatoa message YOU DO NOT HAVE PERMISSION TO PUT THIS ITEM
0 Reactions
0 Replies
732 Views
kwa kuwa wana tech wengi mna ujuzi na mathematics nisaidieni a man left a third(1/3) of his property to his wife, 1/4(quarter) of the remainder to each of his three sons and the rest to be...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
WAKUU SALAMA SAMAHANI, HIVI NAWEZA KUPATA SOFTWARE ITAKAYOWEZA KUWA INADISPLAY MTU AKINIPIGIA WAKATI LINE HIYO NIKIWA NAITUMIA KATIKA MODEM??; MAANA NINA MODEM YA AIRTEL MULTIPURPOSE , MF 190...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Wakubwa habari za majukumu? nimepatwa na tatizo kwenye extenal harddisk yangu ni wd 1tb imegoma kuonekana kama kawaida inaandika unllocated plz mwenye msaada juu ya hilo naomba anisaidie japo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna makampuni mengi hapa Tanzania yanatoa services za web design/development, na pia kuna watu binafsi ambao wana ujuzi wa ku design/develop website zenye quality hiyo hiyo au hata zaidi. Ila...
1 Reactions
5 Replies
987 Views
Nitakuelekezeni moja kati ya namna bora na rahisi kabisa ya kupata audio/mp3 yoyote ile. Waweza kutumia simu yoyote ile yenye intanet au computer. Cha kufanya click link hii hapa chini...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
nimejaribu kuangalia istore tz online naona hawajaweka bei so kama kuna mtu anajua plz help. :A S 12:
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Naomba msaada, programs zipi za kutengeneza websites bila kutumia html, naomba msaada
0 Reactions
21 Replies
3K Views
hi ppal , kwa wale wanaotumia facebook, kwanini inaweza kutokea umeboost post alafu engagement ikachelewa sana kuanza, mfano umeboost asubuh lakin engagement inaanza hata baada ya masaa 11... kama...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
wana jf mwenyeuelewa anipe maujuz.. nmejaribu kufanya rooting kwenye my tecno p5 nmefanya process hii.nmeinstall frama root 1.9.3 nmeopen nikainstall supersu then nikaclick boromir nikaambiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Back
Top Bottom