Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu wote kwa wale wanaojua wepsite yeyote ambazo unaweza ku download program free hususan kwa ajili ya computer tupieni hapa ili iwe msaada kwa wanajamii wote mimi naanza kwa kuweka hizi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu wakuu, nina samsung galaxy s5 demo unity, huwez kupiga cm wala kutuma sms, kama unamtaalam wa kuzifanya zipige cm naomba nisaidieni. Natanguliza shukran
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu hili tatizo limenisumbua sana. majina yanayoonekana ni line 1 tu lakini line 2 inasoma namba bila majina. kuna wakati napokea simu ya bosi bila kujua kwa kuwa jina halionekani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale waliokwisha kutumia simu hizi, je zina dial namba za USSD?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rafiki yangu kanunua iPhone 5 kutoka kwa mtu(used) kila ikiwekwa line inasema simu imeibiwa… so inashindikana kuitumia coz inahitaji iphone id… tunafanyaje kuhusu hilo tatizo? Shukran in advance.
0 Reactions
24 Replies
39K Views
jamani kuweni makini sana na hawa watu. yani mtu mimi na rafki yangu tulichanga hela tununue ps4 ebay tukalipa hela yetu tukiwa tunausbir mzigo kwa hamu .cha ajabu hadi leo tokea november hamna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natumia iyo aina ya simu niliyo itaja apo but nashindwa kuelewa ina tatizo gani kila ninapo taka ku download applications mbali mbali inaniambia "there is insufficient space on ur divice error...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dah yan hawa jamaa wamenimaliza nguvu kabsaaaa,,google adsense wamenifungua juzi akaunti yangu et kisa invalid clicks,,na wakaniambia ni appeal nikafanya hvyo na wakaja nijbu ombi langu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza heri ya mwaka mpya. hebu nisaidieni hili swali. Mouse ina wire ngap ndan ya connector yake na kila wire inafanya kaz gani ? Namaanisha ile wire unaokwenda kwenye PC
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu.! Nimeludi kwenu tena naitaji kujua VPN gan nzuri ili niweze kutumia net Bure.. Nine root simu yangu galaxy s3mini nipo natumia vr.4.4.2 cm.. Msaada wakuu
0 Reactions
32 Replies
9K Views
guys nimekua nikipata tatizo kwenye keyboard yangu ya labda where baadhi ya keys hazi-respond nikizibonyeza naomben solution
0 Reactions
2 Replies
838 Views
natumia simu tajwa ila nimenunua vodashop hivi nahitaji nitumie lain zote nifanyaje
0 Reactions
2 Replies
797 Views
Shikamooni wanajamii! Leo fundi kaniabia lnb yangu ya zuku imeungua. Ilipoteza network wakati wa mvua. Naomba aliye na ujuzi huu anieleweshe kama ni kweli mvua inaleta hili tatizo? Dish lenyewe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu anayejua bei ya Rav4 J milango tano, mpya kabisaa show room naomba anijuze. Nawasilisha.
0 Reactions
28 Replies
15K Views
Wakuu mwenye kufahamu kuhusu hii power bank anijuze vizuri kabla sijainunua. Nakaribisha pia wenye kujua kuhusu power banks aina tofauti tufahamishane. Ahsante !!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kifaa kinacho saidia kuzuia simu,tv, visiungue dhidi ya radi au short ya umeme! TAZAMA YOUTUBE HAPA soma zaidi HAPA
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari zenu wakuu,nina laptop yangu ya dell core i3 ,lakini wi-fi siioni kwenye device manager wala icon yake haimo ila kwenye specification ipo.natumia windows 8.1pro.je tatizo ni nini?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari za jioni wana jamvi, Nimenunua min laptop ya Acer-aspire one,nataka kutumia web cam yake kuwasiliana on line, Tatizo nashindwa kuiwasha web cam, Na je nitafanyaje niweze kuwasiliana na mtu...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Habari wakuu, Ningependa kufahamu kwa wenye experience na hii kitu sio tu kuisoma bali kufanyia kazi. Ni kiasi gani(range) ya pesa au malipo unaweza ukapata kupitia Google adsense, na malipo yake...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari,samahani nina tatizo simu yangu aina ya Tecno m-3 imejiloki baada ya kuingiza namba yasiri isiyo sahihi nimejaribu kuizima na kuiwasha nikiwa nimebonyeza volume+ na power inaleta maneno...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Back
Top Bottom