Ina madhara hivyo jifunnze kujihami Huwezi kutumia internet kwa matumizi ya kawaidabila kutumia Web browser.
Hii ni interface inayotuwezesha kufungua blog, websites na progams nyingine za...
Wakuu, natumia android phone [TECNO PHANTOM SERIES], nimekuwa nikijaribu ku download some apps kutoka playstore lakini napata ujumbe kuwa "there is insufficient space on the device" wakati hapo...
Kwa Mara nyingine wadau was android napenda kuchangia elimu japo ndogo kuhusu mtandao was 3g has a kwa watumiaj was mtandao was voda. Najuanakumbuka niliwahi kuuliza hapa kuhusu namna ya kunasa...
Amani iwe kwenu wana teknolojia
Katika kufanya utafiti wa ipi tablet nzuri inayoweza kunifaa kwa ajili ya matumizi yangu ya shule na matumizi binafsi ( kusoma PDF, kupiga picha, kurekodi video...
Nataka ninunue apps ya AITV..kila nikijaribu kufuata maelekezo mwishoni naandikiwa invalid card number namba za kadi ni sahihi za crdb visa card.msaada kwa watalamu wa ununuzi wa hizi apps za...
Wakuu kuna xperia z hapa inasumbua. Yaani uki iweka kweny lock screen inakua ina stuck kuitoa kweny lock ila mpaka ujarbu mara kadhaa ndo inakubali.
Inshort simu inakua poa tu isipo kua kweny...
Hey, we have 20 units of Apple iPhone 6 and iPhone 6 Plus in stock for sale at affordable price and we do ship worldwide through FedEx Express, DHL or UPS. Interested buyer should contact us for...
Habari wana jf. naomba mnisaidie nina laptop yangu nikiweka wimbo au movie haitoi sauti kabisa, ila nikiweka earphone sauti inasikika. nifanyeje ili sauti itoke? na ilikuwa inatoa sauti tatizo...
(Hi Friend I am a banker in UBA BANK .I want to transfer an abandoned sum of 10.5 millions USD to your account.50% will be for you. No risk involved. Contact me for more details. Kindly reply me...
Kutokana na maombi ya wadau kwamba tuangalie namna gani tunaweza kuzibadilisha stabilizer za kawaida na kuwa voltage booster ili tu ifanye kazi ya kuongeza nguvu ya umeme kwa maeneo yenye umeme...
Habari zenu wana JF,Mimi ni fundi simu kwa mda sasa lakin kuna tatizo ambalo nmewahi kumbana nalo hadi sasa sijalipatia ufumbuzi, licha ya kutumia kila mbinu ninayoifahamu,TATIZO LENYEWE NI...
Nimekuwa nikilifuta hili file baada ya saa kadhaa linarudi tena (auto backup) linakuwa na vipicha vingi na linakula space kubwa ya SD card natumia simu ya Android, naomba msaada wa jinsi ya...
Nilikosea ku Unlock simu yangu kwa kutumia Pattern,sasa inahitaji kufunguliwa kwa kutumia google account,naomba msaada wenu wa kutambua password ya hii account,
Inocentfrank86@gmail.com.Thanks
Wadau habarini,
naombeni msaada wenu,
Kuna movie nimedownload kwenye hii site
YIFY Movies Official
Ila zinazingua kuonesha zinadai codec Pack V1.0
Ukifatilia kwenye hiyo web the link ya...
ZA JIONI WANA JF..
Computer yangu inasema *no battery detected* wakat betri imo,. yan sa iv kila kitu kiko slow
-kuwaka
-ku-open files
-deleting
-ku-install programs
na mengineyo yote...
Poleni na Majukumu Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, lap top yangu aina ya Sony imestuck button zote kasoro pale kwenye Mouse yake so sijajua ni tatizo gani hasa na ni brand new...
Nilikosea ku Unlock simu yangu(Huawei Y 300) kwa kutumia Pattern,sasa inahitaji kufunguliwa kwa kutumia google account,naomba msaada wenu wa kutambua password ya hii account...
Jamani kwa mtu yoyote ambaye anafahamu WEB API ambayo naweza nikaitumia for free kusend SMS anijulishe. Nimejaribu Google Voice ila sijui kama kutuma meseji ni bure maana natuma meseji hazifiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.