Wanabodi
Msaada kwa mtu mwenye kujua apps ambayo inahusika na kutoa notes kwa mfumo wa pdf au kama ilivyo biblia, kwa fani ya uhasibu na managements.
Nitashukuru sana.
Ahsante
wataalamu, nimefungua akaunti paypal. nikijaribu ku link VISA card yangu ya CRDB na pay pal inagoma, ujumbe unokuja ni kwamba, natakiwa billing address and street address zi match. nimekwenda CRDB...
Jamani ndugu wa humu ndani mko poa,nahitaji msaada wa link(s) wa software wa kudownload simu manake na simu yangu hapa(nokia e7) ni ya kuflash mafundi wananizingua tu,nimejaribu download Advance...
Wadau msaada tafadhali. nahitaji ku instal BLUESTACK kwenye laptop yng aina ya acer aspire one.,kila nikiiweka inaniambia graphic driver zangu zipo outdated lakin hata nikiziupdate pia inaleta the...
Apple took the wraps off iOS 8 during todays WWDC keynote. The latest OS release brings a host of new features and improvements, headed by the ability to closely interact with the freshly...
Ukitazama biashara nyingi za kati au ndogo zina kitu kimoja zinafanana, nyingi hazina tovuti au website zinazotoa maelezo ya kutosha juu ya huduma, bidhaa au eneo zinakofanya kazi. Iwe ni hapa...
Nilifikilia kuunda kifaa hiki baada ya kwenda siku moja ktk ATM na kutoa pesa nikapokea ujumbe katika simu yangu ikinitaarifu muda na kiasi kilicho tolewa katka akaunti yangu,na kusisitiza kama si...
Simu tajwa hapo juu inastuck kila baada ya dak kadhaa adi nizime na kuwasha ndo ina fanya kaz nimejaribu kuifanyia factory reset lakini bado ina freez hovyo tu.yeyote mwenye idea nifanye nin...
(Last edited by Mwl. RCT 27th August 2013)
Much of the content nowadays can be easily acquired and obtained from the ever popular torrent search engine such as Pirate Bay due to its large...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.